Picha: Jux akwaa Scandal ya Ushoga

Huyu Kaka alikuaga mpole mwenyewe sijui shetani gani kampitia, Na si alikua anajiita Sukari ya warembo huyu, ndio maana siku hizi kila wakati wanagombana na V kwa sababu zisizokua na msingi kumbe mwenyewe jux yuko busy na boys Hana habari.

Mi Ndo maana wanaume Ma handsome siwataki kabisa, bora niwe na mwanaume mwenye sura kama harmonize lakini najua pesa zipo Ila sio hawa wanajifanya watanashati Mara sukari ya warembo kumbe mambo yao wanajua wenyewe.

Jux mwenyewe yuko busy anaongea kwenye video call na mwaume mwenzie, meno yote nje mxieew , halafu Vanessa akimpgia simu siku nzima hapokei kumbe mwenzie yuko busy na vitoto vya watu.

Hapa Ndo naona kwa nini akina k-lyn wanakimbilia kuolewa na waxed na sio hawa masharobaro ambao wangekua wanaibiana mabwana.

Ila Yule slay queen mashauzi kanichekesha, anachepuka na ng'ast kumbe ng'ast mwenyewe na yeye anatoka na sponsor wa slay queen , khaa hili jiji Lina joto bora mvua zianze

View attachment 1093994View attachment 1093995
Below average copy-and-paste job. Hapa unaona kabisa hiyo screenshot ya Whatsapp imetengenezwa. Angalia borders za hiyo mini window ya huyo shoga chini kushoto utaona hai blend-in na background ya main window.
 
Mkuu
mtu akishakuwa hater na mpuuzi hawezi kuchukua muda wake kufanya hiyo analysis zaidi ya ku copy n paste.
 
Sina muda huo , either uamini au usiamini that's non of my concern , I have just delivered the message , how to encode its up to you
Wewe you have a moral and legal responsibility as to the truthfulness, objectivity and evidentiary proof of the the kind of serious and potentially damaging allegations you are used at throwing to other individuals. Don't you have any sense of conscience in you?
 
Unampa majukumu makubwa sana juu ya upuuzi anaoleta humu kila uchwao.
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom