Picha JK katika kampeni

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Jan 10, 2009
5,471
733
Kibaha3.jpg

JK-Maghimbi1111.jpg

Hiyo glass ya maji haiko clear ina glucose kumpatia nguvu mheshimiwa afya yake bado mgogoro, jamani tumsaidieni huyu JK apumzike atibiwe vizuri WaTZ tumchague Dr.Slaa
 
Mfukunyuzi Sikuwezi mkuu
safi sana kwa picha zako za kifukunyuzi-fukunyuzi
 
KWANI dr slaa anaingia ikulu kulipiza kisasi jamani.......mtu kama huyo atakiwiw kupewa ridhaa y kuongoza nchiii.naona mfukunyuzi unawasaliti wenzako...kama umeweza kuona glucose inawekwa ukashindwa hata kuweka.............muhudumu mwaminifu wewe kwa CCM.HONGERA SANA.
 
Haingii kulipiza kisasi bali kuwatumikia watanzania
 
Hiyo glass ya maji haiko clear ina glucose kumpatia nguvu mheshimiwa afya yake bado mgogoro, jamani tumsaidieni huyu JK apumzike atibiwe vizuri WaTZ tumchague Dr.Slaa
[/SIZE]

Labda sheikh yahya yumo ndani mule analinda hali ya hewa
 
hamkuona alivyoanguka?..........he needs a break,poor guy.:pray2::pray2:
 
Huyu jamaa hapo juu njaa hizi zina mwisho ngoja Dr. Slaa aingie Ikulu...

Huyo jamaa ni njaa tu na unafiki ndio uliomjaa tht's y anajitoa kuharibu ngozi yake hvy vitu vinamadhara bwana Let us vote for DR. SLAA october 31/10/10

YES WE CAN!!!!!
 
Back
Top Bottom