PICHA: Jinsi Mbunge Halima Mdee alivyosherehekea Siku yake ya Kuzaliwa

LESIRIAMU

JF-Expert Member
Feb 12, 2008
8,974
14,490
PICHA JINSI MHE: HALIMA MDEE ALIVYOSHEREKEA SIKU YAKE KUZALIWA

FB_IMG_1458466196255.jpg

FB_IMG_1458466173944.jpg
 
Sasa keki ya birthday inaweza kumaliza njaa za wananchi? Mwache ale ashibe akashughulikie matatizo ya wananchi.. Harafu wananchi wa kawe siyo watu wa njaa njaa ujue...

sio kama wale wala viwavi wa dodoma
 
Unajua maana ya Jukwaa la Siasa? Kuna majukwaa ya kupeleka hii birthday ipo siku atanunua gauni jipya mtaanzisha uzi kusifia gauni lake kwenye ili jukwaa.

magufuli kupiga simu clouds na mkewe ni siasa?Hayo si maisha yake binafsi kuwa anapenda kuangalia kipindi cha 360?mbona hukuja hapa kutoa maoni yako hayo?
 
Anasherekea birthday wkt wananchi wake hawana uhakika wa kula walau mlo mmoja kwa siku!pathetic
Kwani mbunge kazi yake kuleta chakula majumbani?au kuihimiza serikali kuweka sera na mikakati ya kuwa na "Food Security" ya kutosha?....Mbunge wajibu wake ni kukosoa sera mbovu za serikali na kuishauri jinsi ya kuenenda ktk njia ya maendeleo.Na kwa kazi hii Halima James Mdee ameifanya kwa kiasi kikubwa sana
 
Back
Top Bottom