Picha: Jihadhari na hawa matapeli/wezi uwapo barabarani na chombo cha usafiri nyakati za usiku

Hao jamaa wananikumbusha ile ishu ya wale jamaa walioibuka k'ndoni makaburini wakavamia baa iliyo karibu wakijifanya wamefufuka,watu wakatoka ndukii jamaa wakakusanya kila kilichoweza kubebeka wakapotea gizani!
Hahahahahahahaa!!!Aiseee umenkumbusha mbali sana!!!
 
RRONDO unakumbuka stori yako kuhusu mambo haya?
ila mimi sikupata akili ya kulipiga picha! yangu ilikuwa true story sikutunga. saa nane au tisa usiku mwanamke wa kizungu smart kasimama barabarani haogopi wakabaji wala wabakaji?
 
Back
Top Bottom