PICHA: Jeshi la polisi la Tanzania lina mengi ya kujifunza kupitia picha hii

TheDreamer Thebeliever

JF-Expert Member
Feb 26, 2018
2,490
3,534
Habari wadau..!
Kilichonivutia kwenye picha hii sio ujumbe kwenye haya mabango, bali hii picha ya hawa mapolisi waliopiga picha na waandamanaji hapa kwetu Buza kwa Lulenge nadhani baada ya picha hii kusambaa IJP atawasimamisha kazi maafisa hawa kwa kushiriki maandamano badala ya kuzuia 😂😂😂

2939995_23POLISI_HURU_0A...0AIGP_Sirro_na_Jeshi_letu_la_Polisi3A_Kuna_la_Kujifunza_Kwa_Polisi_hawa...jpg
 
Ma- 'IJP' wao wameenda shule za kikweli na wanaelewa maana ya uhuru na demokrasia tofauti na 'IJP' wetu
 
Habari wadau..!
Kilichonivutia kwenye picha hii sio ujumbe kwenye haya mabango ,bali hii picha ya awa mapolisi waliopiga picha na waandamanaji hapa kwetu Buza kwa Lulenge nadhani baada ya picha hii kusambaa IJP atawasimamisha kazi maafisa hawa kwa kushiriki maandamano badala ya kuzuia 😂😂😂
Hawa ni askari kweli, au ni mgambo tu wa jiji? Mbona askari wote wameshika virungu badala ya SMG?
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom