Gospel Preacher
JF-Expert Member
- Jan 17, 2018
- 233
- 263
Kuna hawa watu ambao wanasema tuma pesa yangu ninayokudai,kodi au chochote kupitia namba hii,,alafu anatumia namba nyingi sana
Mimi najiuliza je? Ni kweli serikali imeshindwa kuwadhibiti hawa watu?, na je wanapata wapi namba za wananchi na kuweza kuwatumia sms hizi za utapeli? Kwanini serikali isichunguze kama hawa wapiga dili wanashirikiana na makampuni haya ya simu mpaka wanatoa namba mfano tigo,voda,Airtel, n.k?
Jambo hili serikali mnaliacha na wananchi wenu wanaibiwa sana.