KIKOSIKAZI
JF-Expert Member
- Aug 12, 2014
- 2,219
- 1,145
Hujawahi kushikwa na tumbo la kuhara weweHivyo vyoo siingii hata kwa kulazimishwa.
Hujawahi kushikwa na tumbo la kuhara weweHivyo vyoo siingii hata kwa kulazimishwa.
Kila mtu ni mfagiaji Airport? ficha ujinga wako aiseeBaada yakuona
Ulifagia au!!
Mkuu hakuna mahali nimelaumu wakandarasi. Ukinisoma vizuri na naomba urudie nimeeleza uzembe wa managementNguruvi3
Hua napenda post zako lakini sasa nadhani unaelemewa na Mahaba?
JKNI imejengwa na Wakandarasi wa ndani?
Je hakuna ramani kuonyesha kila sehemu itajengwaje?
CEO anajua wajibu wake? Tujenge Nchi kwa pamoja Mzee.
JNIA Terminal 2 kuna matatizo mengi sana kuanzia kwenye management na miundombinu (umeme,maji,AC),lile jengo limechoka sana hata kufanya ukarabati/upgrade baadhi ya vitu inakuwa ngumu sana,kwa sasa tusubiri tusubiri Terminal 3 ikifunguliwaMkuu hakuna mahali nimelaumu wakandarasi. Ukinisoma vizuri na naomba urudie nimeeleza uzembe wa management
Uchafu wa mazingira si suala la mkanadarasi haa siku moja.
Wala hakuna mahali niliposema ujenzi umekosewa. Nilichosema na nadhani ndicho ulichonielewa vibaya ni kuwa kuna uchafu uliokithiri.
Pamoja na hayo hata sehemu ya kubadilishia mtoto (baby changing station) akichafuka hakuna.
Si dude kubwa, ni kitu size ya kumlaza mtoto kinafungwa ukutani. Hakihitaji hata engineeer
Ni fundi mchundo tu anawelekezwa. Yaani ni kitu kidogo sana kuliko 'sink' la kunawia mikono
JKNI hawana, na wala hakigharimu hata dola 30. Ukishafunga baasi inaweza kutumika miaka hata 10 maana ni lastic inayosafishika
Angalia hapa chini utaelewa naiongelea nini
Baby Changing Station H-1669 - Uline
Na hapa ndipo kuna kosa kubwa.JNIA Terminal 2 kuna matatizo mengi sana kuanzia kwenye management na miundombinu (umeme,maji,AC),lile jengo limechoka sana hata kufanya ukarabati/upgrade baadhi ya vitu inakuwa ngumu sana,kwa sasa tusubiri tusubiri Terminal 3 ikifunguliwa
Onyo - usikojoe kwenye hayo mabakuli kuepuka kisonono .
Inasikitisha. Ukienda barabara ya Dar Arusha kabla ya Korogwe kuna mgahawa mmoja. Huo una vyoo safi kuliko JKNIA. Hivi kweli kuna utetezi wa aina yoyote JKNIAHii ni hatari Airport inashindwa usafi hata na baadhi ya baa!kudadadeki?
Akitumbua wewe utakuja hapa kulaumu tena tatizo sio viongozi ni mindset za wabongo hawapendi vitu vizuriNyani Ngabu unamambo du! hii ndo iternanational airport yetu? na lundo la miaka ya uhuru ukichagizwa na utumbuaji majipu lakini bado hali iko vile? labda sasa ajitumbue mwenyewe ndo hali ibadilike. Choo cha aibu hiki hata kwangu siwezi kuwa na choo cha aina hii kisha nikasema ni international, hebu ona vilaka vilaka na mashimi hayo Nyani Ngabu umeniharibia weekend yangu kabisa siyo siri tena.
Sasa hapa unamuingizaje raisi mpaka usafi wa vyoo haujioni kama una matatizo,tatizo watu wengi wa Dar ni wachafu na hawapendi kabisa usafi na wamezoea kubembelezwa bembelezwa kama metal kazi kufuga vitambi tuTeh teh teh teh yupo busy kutumbua na kusikiliza mapambio na masifa tele "magu oyeee Pogba oyeeeeee hureeeee!