Picha: January Makamba aendelea na ziara mikoani. kiongozi Wa kuigwa

Nibozali

JF-Expert Member
Oct 15, 2016
572
1,055
Kiongozi makini katika baraza LA mawaziri na asiye na kelele Bali kazi tu anaendelea na ziara zake mikoani zinazolenga kuhimiza utunzaji Wa mazingira kwa faida ya sasa na kizazi cha hapo baadae
‪+255 756 997 052‬ 20170330_150744.jpg
 
Mtu anakampuni kibao ana hisa Kibao Vodacom wewe amekupa T shirt ya Njano na Kofia ya Kijani unaleta upuuzi ndo maana haujamwambia akupe na suruali
 
Mpika majungu wa ccm

Keshanyooka, awali alikuwa na ngomo bubu

Eti hakutaka uwaziri alitaka uwaziri mkuu

Hii nchi buana kila mtu anajiona simba wakat ni mapaka tu
 
So what? Yaani awe kiongozi wa kuigwa kwa kupiga selfie? Hawa book 7 waliosajiliwa siku hizi bwana vituko vitupu. Mnamwangusha polepole vijana.
 
Back
Top Bottom