PICHA: Jakaya Mrisho Kikwete ni mtu wa kipekee sana

Hivi punde

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
2,554
8,552
IMG-20180308-WA0046.jpg

IMG-20180308-WA0047.jpg
 
To a point , yes.

Mkapa, Ally Mwinyi, Warioba, Salim Salim, Lowassa and luminaries of that ilk would never mix it up with the commoners.

Kuna msiba mmoja alikuja Lowassa halafu wakati wa kula yeye peke yake akawa hali chakula. Nikawa najiuliza yani hamuamini hata mzee mfiwa rafiki yake kumtengea chakula hata matunda?
 
img-20180308-wa0047-jpg.708289


Ingekuwa Lowasa au Mbowe hapo wangeomba uma, kisu na kijiko. Machadema yanapenda uzungu hadi yanashangaa mila zetu za kawaida kabisa.
Kinachonishangaza, ni kwamba hao watu hakuwa na msaada ktk maisha yao yote,hadi leo anakula nao ugali kwa sifa huku wakiwa wachovu namna hii.Kweli wanasiasa wa kijamaa ni laana.Kawatumia wakiwa hivihivi,kafaidia wakiwa hivi hivi,katoka wakiwa hivi hivi na leo anawatumia wakiwa hivi hivi.
 
To a point , yes.

Mkapa, Ally Mwinyi, Warioba, Salim Salim, Lowassa and that ilk would never mix it up with the commoners.

Kuna msiba mmoja alikuja Lowassa halafu wakati wa kula yeye peke yake akawa hali chakula. Nikawa najiuliza yani hamuamini hata mzee mfiwa rafiki yake kumtengea chakula hata matunda?

Usimlaumu mtu kwa kutokula huwezi jua ana maadui wangapi na wamemtega kwa kiasi gani. Kufika tu kwenye msiba haitoshi. Je akila ikawa tayari adui alishaweka kitu POLO si hatari hiyo?
 

Ni kweli Mkuu hata hujakosea kwani hata nchi yetu hii ' aliiharibu ' mno hasa Kiuchumi, Kiutendaji na Kinidhamu hadi ikawa ya ' Kipekee ' hasa katika kuwa nchi moja ya ' hovyo hovyo ' kati ya nchi zote zinazopatikana duniani. Ukikaa na wenye akili na IQ zinazowatosha ambazo wamebarikiwa nazo na Mwenyezi Mungu halafu ukawa unamsifia Kikwete kwa namna yoyote ile wanaweza Kukushangaa, Kukutenga na hata kukuona Wewe ni ' Mpuuzi ' wa Kiwango cha Kimataifa. Acheni tu Rais wetu wa sasa ' Jemedari ' na ' Mwanamume ' wa kweli John Pombe Joseph Magufuli ainyooshe, aijenge nchi na airudishe katika mistari sahihi ili Tanzania irudie Heshima yake iliyokuwa nayo wakati wa awamu ya Kwanza ya Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Burito Nyerere.
 
Back
Top Bottom