Picha: Irene Uwoya, The undisputed [emoji91]

warumi

R I P
May 6, 2013
16,273
18,375
Kama na wewe ni mmoja kati ya wanazengo waliokua wanamponda Muigizaji bei mbaya, Irene Pancras uwoya, kwa kitendo chake cha kupiga picha kila wakati akiwa amepozi nyumbani kwake na nguo tofauti tofauti za kutokea ilihali hana mtoko wowote, habari hii ukifikie popote ulipo.

Sasa nikujuze, Mwana mama huyo mwenye umbo na sura ya kuvutia, na pesa kama zote, hivi sasa anakula mtonyo wa madili mbali mbali ya maduka y nguo mjini , ambapo mrembo huyo hutangaza nguo na outfit mbali mbali na kuzipost kwenye ukurasa wake wa instagram wenye followers zaidi ya Mil 3.

Msanii huyo kwa sasa ndiye anayetajwa kuwa na pesa zaidi kuliko msanii yeyote kwa sasa kutoka kwenye kiwanda cha bongo movie.

Staa huyo amekua akionekana kwenye viwanja vya starehe ndani na nje ya nchi akila bata.

Uwoya ni mjasirimali, anamiliki Bar, last minute lounge maeneo ya sinza mori, pia tunaambiwa uwoya kwao ni mambo safi, pesa si tatizo
IMG_0173.JPG
IMG_0175.JPG
IMG_0176.JPG
 
Binamu nampataje huyu?
Kama na wewe ni mmoja kati ya wanazengo waliokua wanamponda Muigizaji bei mbaya, Irene Pancras uwoya, kwa kitendo chake cha kupiga picha kila wakati akiwa amepozi nyumbani kwake na nguo tofauti tofauti za kutokea ilihali hana mtoko wowote, habari hii ukifikie popote ulipo.

Sasa nikujuze, Mwana mama huyo mwenye umbo na sura ya kuvutia, na pesa kama zote, hivi sasa anakula mtonyo wa madili mbali mbali ya maduka y nguo mjini , ambapo mrembo huyo hutangaza nguo na outfit mbali mbali na kuzipost kwenye ukurasa wake wa instagram wenye followers zaidi ya Mil 3.

Msanii huyo kwa sasa ndiye anayetajwa kuwa na pesa zaidi kuliko msanii yeyote kwa sasa kutoka kwenye kiwanda cha bongo movie.

Staa huyo amekua akionekana kwenye viwanja vya starehe ndani na nje ya nchi akila bata.

Uwoya ni mjasirimali, anamiliki Bar, last minute lounge maeneo ya sinza mori, pia tunaambiwa uwoya kwao ni mambo safi, pesa si tatizoView attachment 1117615View attachment 1117616View attachment 1117619
 
Hawa mademu waone tu hivi... Wana njaa hatari sana... Nimetoka zangu darful mwaka 2012,tukaenda zetu 777 kula bata kidogo... Msela mmoja kaenda kumla Aunt Ezekiel kwa USD 200 tu...

Wakati hua Aunt analiwa na Lazaro
Lazaro?
Iyobo kesha ondolewa kwenye michuano
 
Similar Discussions

8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom