Picha:Ingekua kwa wenzetu huyu dogo angeshapata 'SHAVU'

CHAI CHUNGU

JF-Expert Member
Feb 20, 2012
7,113
930
Hapa dogo kakosa mpira kaamua kutumia nazi kama mpira.
Nimeambiwa umri wake ni mwaka1 na miezi 5 tuu!
Lakini anapiga mashuti ya hatari!
 
Kama anapiga teke Nazi linakuwa shuti basi sina shaka anatakiwa aiwe kwenye kikosi cha Poulsen
 
Tusiue vipaji kama hivyo jamani huyo mpeni mpira
Mpira anao mkuu lakini hapendelei sana kuucheza nadhani kwa sababu mpira ni mwepesi,yani yeye anapenda kupiga vitu vizitovizito tu kama nazi na some times vipande vya matofali.
 
Umesema anapiga Mashuzi? Katakuwa kamelishwa Maharage kwa saana hadi Nazi inarushwa.
 
Back
Top Bottom