Picha inayosema, CCM jiandae kuwa kama KANU

Shoo Gap

JF-Expert Member
Mar 11, 2009
237
225


Rais Jakaya Kikwete akizungunza na Mwenyekiti wa chama cha KANU Gidion Moi aliyemtembelea tarehe 29 Novemba, 2012 katika hoteli ya Nairobi Serena jijini Nairobi. MY TAKE: NI KAMA ANAMUASA KWAMBA AJIANDAE CCM KUWA CHAMA CHA UPINZANI KAMA WALIVYO WAO(Tazama uso wa JK).
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom