Picha ina maana kubwa sana kuliko hata maelezo

Slim5

JF-Expert Member
Jan 7, 2014
28,103
37,628
Tumeumbwa tofauti sana!
IMG-20180927-WA0001.jpg
 
True ndo tuendako,shetani kafaulu kuharibu maadili ya utu asili ya binadamu,kwa maana tutakuwa ni maroboti sio watu asili.Watu watatafuta neno Lkn hawataliona,
 
Yaani Mbwa ana akili zaidi ya huyo dada, mana anacare watoto wake, mpk na mtoto wa binadamu!
 
True ndo tuendako,shetani kafaulu kuharibu maadili ya utu asili ya binadamu,kwa maana tutakuwa ni maroboti sio watu asili.Watu watatafuta neno Lkn hawataliona,
Shetani ni wewe na mimi na yule hatoki popote. Heri mtoto kapata maziwa asilia kuliko ya kopo.
 
Hata kama mtoto wako unamuachia Dada wa kazi unakosea sababu kama wewe unashindwa kumjali mwanao atawezaje kumjali Dada wa kazi wakati sio wake
Kama hadi umeweza kuwa member humu halafu umeshindwa kujua sababu za Mimi kumwachia dada wa kazi mwanangu inakuwa ngumu Sana Mimi kukuelewesha ukaelewa, nikubaliane na wewe kwamba kweli simjali mwanangu
 
Yaani Mbwa ana akili zaidi ya huyo dada, mana anacare watoto wake, mpk na mtoto wa binadamu!
Slim5, iangalie vizuri hiyo picha ni ya kuchora. Ila ujumbe umefika sababu kwa wenzetu, watoto wanakuwa na muda mrefu na wanyama kuliko wazazi. Kizazi cha dot.com.
 
Back
Top Bottom