PICHA ILIYONIHUZUNISHA WATOTO WANAULIWA SANA HUKO IRAK NA SYRIA MUNGU WASAIDIe

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,268
33,040
1471890_624204707640020_668692045_n.jpg
 
Uislamu huo,hii dini haifai

Usiingize udini hapa. Hata wakati wa Yesu, watoto walikuwa wanauawa. Unakumbuka Mariamu na Yusufu walikimbilia Misri kumwokoa Yesu asiuliwe kutokana na ile amri ya kuua watoto wote waliokuwa chini ya umri wa miaka 5?
 
Uislamu huo,hii dini haifai

kafiri asie na haya utamjua tu!

Watoto wadogo wanatolewa roho we unaleta maneno mabovu hapa!
Huyo angekuwa mwanao au mdogo wako ungeropoka namna hio!?
Haya ndio matatizo ya kuwa na janaba maisha yoote!
Vipi mdomo utakuwa na maneno mazuri!??
Wakati mwili mzima Najsi tupu!!?

Mfnssssssssss!
 
kafiri asie na haya utamjua tu!

Watoto wadogo wanatolewa roho we unaleta maneno mabovu hapa!
Huyo angekuwa mwanao au mdogo wako ungeropoka namna hio!?
Haya ndio matatizo ya kuwa na janaba maisha yoote!
Vipi mdomo utakuwa na maneno mazuri!??
Wakati mwili mzima Najsi tupu!!?

Mfnssssssssss!

Tatizo lenu mkiambiwa ukweli mnapanic sana, nyie ndo mnawatoa roho alafu unajifanya unaona huruma, gaidi mkubwa wewe
 
Wote hao ni ma terrorists tu, si Waislaam hao? au sio? kuna Muislaam ambae sio terrorist? labda awe bado hajazaliwa.
 
Mwanga wa kristu uwaangazie milele..
Hiyo ndio furaha ya watu wa marekani. Hata sisi huku tunapaswa kabla ya kulala usiku tuonbe tulale salama kwa hisani ya watu marekani. Bila kuwaomba na kuwasifia watu wa markani hatutolala kama hao wa Iraq, Libya,Afganistan, Misri,Palestina nk
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom