PICHA ILIYONIHUZUNISHA WATOTO WANAULIWA SANA HUKO IRAK NA SYRIA MUNGU WASAIDIe

Tatizo lenu mkiambiwa ukweli mnapanic sana, nyie ndo mnawatoa roho alafu unajifanya unaona huruma, gaidi mkubwa wewe

Mara zote haya majina yenu yanafanana na tabia zenu pamoja na uwezo wenu wa kufikiri.

Sasa unajua maana ya mavotaah!?

Teh teh teh teh!

Ama kweli mzazi wako hakupendi!
Laiti ungelifahamu maana yake. Usingekuwa na mdomo.mchafu mreefu hii! Mavotah mmoja we! :D:D:D:D
 
Last edited by a moderator:
Uislamu huo,hii dini haifai
Hatuzungumzi kuhus Dini hawajakufa kwa ajili ya dini hao wamekufa kwa ajili ya nchi yao.AliyeletaVita ni Mkristo hapo Rais wa zamani wa Marekani Rais bush naye alikuwa ni mkristo kwa hiyo Wakristo wote hawafai? usilete maneno yako ya Pumba hapa tafadhali kama huna cha kuzungumza bora ukae kimya kuleta kuleta kashfa zako za Udini kwenda zako.
 
huwa siungani na wale wanaowashabikia magaidi, magaidi hutoa roho za wasio na hatia...... mara nyingine wanakuwa na hoja ya msingi kabisa ila namna wanavyotekeleza mission yao ni kinyume kabisa...kwani huwezi kumpiga Asha kwa kosa alilofanya Amina ambaye ni jirani wa rafiki wa Asha...... nina maana hivi.......haiwezekani magaidi wauwe watu wengine kabisa tofauti na wale wanaosema ni maadui zao! hata kama wanachopigania ni cha msingi
 
Back
Top Bottom