Nimeziona picha nyingi kuhusiana na ajali ya meli Zanzibar, lakini picha hii imenigusa kwa namna ya pekee kabisa. Nikiangalia sura zao zisizo na hatia, ninaona kuwa kama taifa, tumewaua malaika hawa bila sababu za msingi
Inauma kuona taifa linapotea kutokana na uzembe tu wa watu wachache ,Eee mola tuepushe na tamaa za wachache zinatuangamiza sana poleni wafiwa wote mola atwarehemu, am..........................................
...Ni msiba mkubwa sana..."malaika" wa Mungu wanapolazwa chini ya hema huku wazazi wao hawajulikani walipo; ni huzuni na simanzi hata kwa sisi tunaotazama watoto waliyekufa maji na wamelazwa kama wamelala! Inatia majonzi na huzuni pia kwa kuwa inawezekana sana wazazi wa watoto hawa wametoweka pia. MWENYEZI AZIPOKEE ROHO ZA WATOTO HAWA NA AWAZADIE NURU YA MAISHA YAO (BAADA YA KUFA) KWA KUWA NI WASAFI NA ROHO ZAO NI NYEUPE KAMA THELUJI. INNALILLAH WA INNA ILAYH RAJIUN (SISI NI WA MWENYEZI MUNGU NA KWA MWENYEZI MUNGU TUTAREJEA).
inasikitisha zaid kuwa hakuna guarantee kuwa tukio hili halitajirudia. tume ya mv bukoba accident sijui ilishauri nini ambacho kilikuwa tofauti this time
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.