Mbona kama doctor anamwambia prof. "nilikuwa nakutania tu usichukulie serious"
Raisi John Magufuli ameoneka kummudu sana Huyu mzungu, picha inafafanua Uchungu na Confedence ya juu mno..
Kama ni Caption ningesema hivi.
JPM : You must pay our money , no way , Ok ? .
JLT : Yes Mr. President
angelijua anachomuwazia huyo mzungu kichwani, angeondoa hata uo mkono begani. wazungu wajanja sana hapo mzungu anawaza atupigeje hadi tutoa machozi.Hahahahahahaaa! Profesa kanywea kwa Dokta...
Wakati wenzetu wazungu wanawafundisha watoto wao kutawala wengine sisi tunafundishwa kuwaogopa watu esp wazungu. Na hii comment yako imethibitisha hili. Mtu kuwaziwa vibaya sio tatizo, tatizo ni pale unapokubali wazo baya unalowazima litimie juu yako wakati wote mmeumbwa with the same abilityangelijua anachomuwazia huyo mzungu kichwani, angeondoa hata uo mkono begani. wazungu wajanja sana hapo mzungu anawaza atupigeje hadi tutoa machozi.
Unataka acheke amchekee nani.Halafu mbona huyo Bodyguard wa JPM mbona kanuna hivyo?? Mbona kavuta domo hivyo?? Inamaana kuwa usalama lazima unune namna hiyo?? Huwa hawaangalii wenzao wa nje?mbona huwa wako kawaida tu kwa mwonekano wa nje Ila wako vizuri linapokuja swala LA utekelezaji wa majukumu?? Usalama mliomo humu Waambieni Jamaa wabadilike bhana
Daah kuna watu mnaogopa wazungu aisee.Hiyo picha ingewekwa bola maneno nikaambiwa nitoe neno, huyo mzungu ni kama anamwangalia mheshimiwa kwa dharau..ukute mkuu alikua anapiga lugha ngeni, ukichanganya na kujizuia kucheka jamaa yuko relaxed sana. Hana wasiwasi.
Daah kuna watu mnaogopa wazungu aisee.
Hata wakinya juu ya meza mtasema alikua anakula.
kwani kuna mahali nimesema anatakiwa Acheke?? Kwa hiyo kinyume cha kukunja sura ni kucheka??Unataka acheke amchekee nani.