We mtoto acha ukorofi Mungu anakuonakama vile kamwambia nitaku............. halafu mzungu anamwambia acha bana tutaelewana tu
We mtoto acha ukorofi Mungu anakuonakama vile kamwambia nitaku............. halafu mzungu anamwambia acha bana tutaelewana tu
sawa mkuuWe mtoto acha ukorofi Mungu anakuona
kwa wataalam wa kusoma sura,picha haiendani na maelezo haya.Mbona kama doctor anamwambia prof. "nilikuwa nakutania tu usichukulie serious"
we huwaogopiDaah kuna watu mnaogopa wazungu aisee.
Hata wakinya juu ya meza mtasema alikua anakula.
Hao wataalam wakagueni vyeti vyao.kwa wataalam wa kusoma sura,picha haiendani na maelezo haya.
No my friend. Your caption is far from reality.JLT and his team behind are not a 'yes sir' type! Sorry for you and all ccm zealots!
Raisi John Magufuli ameoneka kummudu sana Huyu mzungu, picha inafafanua Uchungu na Confedence ya juu mno..
Kama ni Caption ningesema hivi.
JPM : You must pay our money , no way , Ok ? .
JLT : Yes Mr. President
Wewe na Tundu Lisu aliyetutisha kwamba tutashitakiwa akili zenu zinafanana. Mmekalia kujikomba kwa wazungu tu.Kweli aliesema 'a picture is worth a thousand words hakukosea'
Wengine tunaona vingine kabisa
Tunaona mzungu akimtazama mtu usoni na kumuuliza
nani mwizi? na mswahili akilazimisha urafiki na kujifanya yashakwisha
TawileKweli aliesema 'a picture is worth a thousand words hakukosea'
Wengine tunaona vingine kabisa
Tunaona mzungu akimtazama mtu usoni na kumuuliza
nani mwizi? na mswahili akilazimisha urafiki na kujifanya yashakwisha
Hapana mkuu.....ili kuonesha uzalendo aoneshe uwazi kwa alivyovisimamia yeye....Kila alichokisimamia kimejaa wizi, ufisadi na uongo na undugu.....TUTAKAAJE KIMYA SASAAngalia usije ukaletewa sabuni na nduguzo ukiwa JELANI......
Out of point!!!!vipi kitila na mgimwa walipo isaliti chama lao je hao nao wapo pande ipi? au unasubiri ukuu wa mkoa ili hizi kauli zako na wewe uziache?
Hapa mmoja ni mjanja sana, katupiga kwa miaka mingi kwa ridhaa yetu wenyewe, na mwingine ndo kwanza kashtuka juzi, kaona amekuwa akipigwa sana, lkn kwa hesabu zake za kukokotoa kiwango kile cha makanitrillion ktk ndoto ni kikubwa mno kiasi cha kuwamilikisha wadanganyika ka.noa kamoja kamoja, badala ya ajira.
....tatizo yai lenyewe analotema ngosha hapo ni brokenMzungu anamshangaa Rais 'anavyotema yai'
ilikua form(4/6) vile necta katika geography.Daah PHOTOGRAPHIC INTERPRETATION