Sajenti
JF-Expert Member
- Apr 24, 2008
- 3,651
- 412
Yaelekea hawa waisrael wana strategy ya kukifuta kabisa kizazi cha wapalestina. Sielewi kwa nini wanauwa watoto kiasi hiki. Kuna huyo askari kwenye moja ya hizo picha ameshika bunduki anamlenga mtoto hivi kweli ubinadamu wa aina gani huu?? Imeniuma sana malaika wa mungu wanauwawa kama panzi?? Duh! mbaya sana!