Picha iliyo nihuzunisha mtoto wa ki-Iraq amempoteza mama yake ameamuwa kuchora picha

MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
40,438
2,000

PICHA ILIYO NIHUZUNISHA MTOTO WA KI-IRAQ AMEMPOTEZA MAMA YAKE AMEAMUWA KUCHORA PICHA YA MAMA AMELALA MAMA YAKE AMEMKUMBATIA UNASEMAJE KUHUSU HII PICHA...........
 
Riwa

Riwa

JF-Expert Member
2,601
1,500

PICHA ILIYO NIHUZUNISHA MTOTO WA KI-IRAQ AMEMPOTEZA MAMA YAKE AMEAMUWA KUCHORA PICHA YA MAMA AMELALA MAMA YAKE AMEMKUMBATIA UNASEMAJE KUHUSU HII PICHA...........
Heartbreaking...lakini kwa kweli huyo motto ni mdogo sana kuweza kuchora picha ya mwanamke aliyeavaa hijab! Photoshop hii..
 
Sungurampole

Sungurampole

JF-Expert Member
985
195
Na mie nakumbuka alishapost. Ama jf inarudisha vitu kwa kubadili tarehe? Manake jana nimeona post ya mtu imeandikwa 1970
kwani kosa hapo ni nini? kurudiwa? Mimi kwa ujumbe huu mbona sioni shida ukirudiwa?
Kama nimepata ujumbe wenyewe ni kwamba wale walivyonavyo wawakumbuke wasivyonavyo..period.. ujumbe huu wachungaji na masheikh nafikiri wanaurudia mara nyingi sana na bado wataendelea.
Asante mtoa mada 'msg delivered'
 
uran

uran

JF-Expert Member
1,701
2,000

PICHA ILIYO NIHUZUNISHA MTOTO WA KI-IRAQ AMEMPOTEZA MAMA YAKE AMEAMUWA KUCHORA PICHA YA MAMA AMELALA MAMA YAKE AMEMKUMBATIA UNASEMAJE KUHUSU HII PICHA...........
huyo mama yake alimpoteza katika tukio gani, vita ama?
 
Mandown

Mandown

JF-Expert Member
1,669
1,250
very sad, yaani hako ni kagaidi katarajiwa, huwezi jua rohoni mwake kuna msamaha kwa walio muua mama yake
 
Forum statistics

Threads
1,425,226

Messages
35,085,100

Members
538,249
Top Bottom