Picha ikionyesha askari Magereza Tanzania wakiwa na sare (unifom) za rangi tofauti tofauti

Wanajishonea wenyewe kila mtu na fundi ndio maana rangi hazi match vizuri hawana supplier sasahivi sijui Lugumi yupo wapi??
 
Ni ipi rangi halisi ya sare ya Jeshi la Magereza Tanzania kati ya hizi zinazo onekana kwenye hii picha?

Mheshimiwa Rais na Amiri jeshi mkuu wa majeshi ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia chonde chonde hili jeshi naomba ulibadilishie sare.

Kamishina mzee ongea na Mama askari wa jeshi la Magereza wabadilishiwe sare kwanza wapo wachache sana hata elfu kumi hawafiki

Jeshi la Wananchi, magereza ama Polisi ni majeshi yenye kuonesha taswira ya Taifa kisiasa, kiutamaduni na kiuchumi.

"Usafi" kwa majeshi ni jambo la muhimu kuliko jambo lolote lile lenye kuonesha taswira halisi ya jeshi na nidhamu kwao hupimwa kwa usafi.

Kuvaa kinyume na sare zilizoidhinishwa na mkuu wa jeshi husika ni kosa linaloweza kumfukuza askari jeshini kwa "aibu".

Kubadili mashono ama mtindo ulioidhinishwa ni kosa la "jinai" kijeshi.

Kuvaa kihuni kwa kuacha kufunga kisikizo ama kukunja mikono na kutonyoosha pasi, ni kosa kubwa kabisa la "jinai" linaloweza kukupeleka jela miaka miwili ama adhabu chini ya hapo.

Kuto kubrashi viatu na kuking'arisha elewa kuwa haujitaki, tena bila ya kujali una cheo gani na utumishi wako ni wa muda gani.

Yote hayo tisa, kosa kubwa kabisa katika hayo ya usafi na lisilovumiliwa ni ufugaji wa ndevu, ni mwiko usio na kisingizio kufuga ndefu jeshini na kama kufuga ni masharubu tena kwa maombi maalumu kwa mkuu wa majeshi na kwa sababu ama wadhifa maalumu.

Heri nywele waweza kutetewa na daktari kwa sababu za kiafya, lakini ndevu hazina sababu yoyote wala kisingizio chochote kile kuzifuga.

Sasa kifupi hiyo picha inaonesha udhaifu mkubwa na utovu wa kinidhamu katika jeshi la magereza katika kipindi hiki kama picha hiyo itakuwa ni mpya.

Hapo kuna maaskari na maofisa pamoja na mafundi karakana wamesimama kwa pamoja.

Nikianza kuifasiri hiyo picha ipo hivii?:

Sare zote za maafisa na askari ukiachana na jampa la kifundi la bluu, sweta ama hilo koti la mvua, sare zao zingine zote zinatakiwa kuwa na rangi moja yenye kufanana, bila kuonesha utofauti wa kimatoleo kwa jinsi yoyote ile.

Sasa hapo, inaleta taswira kuwa kila askari ama ofisa anajishonea sare mwenyewe kivyake vyake, maana yake hawana chanzo kimoja.

Wanashona kama wafanyavyo watoto wa shule!

Kila mmoja atashona kwa kuona, kudhania ama kufananisha rangi, kiubinadamu kila mtu huwa ana uwezo tofauti wa kufasiri rangi machoni mwake kama hapatakuwa na utaratibu na kanuni ya chanzo kimoja cha kushonea sare.

Je, Mkuu wa jeshi la Magereza anaweza akaridhishwa na hali hiyo kweli?

Ninahisi kuna uozo mkubwa sana Wizara ya mambo ya ndani ambako mkuu huyo wa jela hawezi kusema lolote akasikilizwa.

Kama si hivyo basi na yeye atakuwa ni mnufaika mkubwa wa madhila machafu wapatayo maafisa na askari wa jeshi lake hadi kupelekea kushindwa kuchukua hatua madhubuti kuondoa tatizo hilo linaloonekana kuwa ni sugu.

Wakati wa awamu ya tano, ninakumbuka Rais Magufuli aliwahi kushitukiza kama sikosei Ukonga akakumbana na uozo mkubwa wa namna hiyo unaohusiana na sare na tenda za kushona sare kufanywa na mke wa boss wa Magereza, hali iliyopelekea boss wa jela kufukuzwa kutokana na kashifa hiyo.

Sasa na huyu wa sasa inaonekana naye hana tofauti na mtangulizi wake, ingawa mwanzo tuliaminishwa raia kuwa yeye ni mjeda, hana mchezo, lazima atalikarabati jeshi la Magereza hima, lakini sasa nadhani keshalambishwa asali!

Ni Magereza tu kuna nini huko?

Mbona Polisi na wanajeshi wanavaa smart sana!
 
Msitari wa mwisho umeandika ila hujui usemalo.
 
Ni ipi rangi halisi ya sare ya Jeshi la Magereza Tanzania kati ya hizi zinazo onekana kwenye hii picha?

Mheshimiwa Rais na Amiri jeshi mkuu wa majeshi ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia chonde chonde hili jeshi naomba ulibadilishie sare.

Kamishina mzee ongea na Mama askari wa jeshi la Magereza wabadilishiwe sare kwanza wapo wachache sana hata elfu kumi hawafiki

Ni hizo
hizo sema zimepauka tuu
hao unaowaona mpya mpya wao hawaheng’eki juani ni ofsini tuu
 
Gwa
Ni ipi rangi halisi ya sare ya Jeshi la Magereza Tanzania kati ya hizi zinazo onekana kwenye hii picha?

Mheshimiwa Rais na Amiri jeshi mkuu wa majeshi ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia chonde chonde hili jeshi naomba ulibadilishie sare.

Kamishina mzee ongea na Mama askari wa jeshi la Magereza wabadilishiwe sare kwanza wapo wachache sana hata elfu kumi hawafiki

Ndwanda zimepauka na hazipo stoo
 
Ila nasikia huwa wanajishonea wenyewe hizo uniform nikama shule tuu ikienda kulipoti unaambiwa rangi ya kitambaa hii hapa So nenda katafute ili ushone, ndiyo maana unashangaa baadhi ya Shule wanafunzi sare hazilandani kabisaaa
 
Jeshi la Wananchi, magereza ama Polisi ni majeshi yenye kuonesha taswira ya Taifa kisiasa, kiutamaduni na kiuchumi.

"Usafi" kwa majeshi ni jambo la muhimu kuliko jambo lolote lile lenye kuonesha taswira halisi ya jeshi na nidhamu kwao hupimwa kwa usafi.

Kuvaa kinyume na sare zilizoidhinishwa na mkuu wa jeshi husika ni kosa linaloweza kumfukuza askari jeshini kwa "aibu".

Kubadili mashono ama mtindo ulioidhinishwa ni kosa la "jinai" kijeshi.

Kuvaa kihuni kwa kuacha kufunga kisikizo ama kukunja mikono na kutonyoosha pasi, ni kosa kubwa kabisa la "jinai" linaloweza kukupeleka jela miaka miwili ama adhabu chini ya hapo.

Kuto kubrashi viatu na kuking'arisha elewa kuwa haujitaki, tena bila ya kujali una cheo gani na utumishi wako ni wa muda gani.

Yote hayo tisa, kosa kubwa kabisa katika hayo ya usafi na lisilovumiliwa ni ufugaji wa ndevu, ni mwiko usio na kisingizio kufuga ndefu jeshini na kama kufuga ni masharubu tena kwa maombi maalumu kwa mkuu wa majeshi na kwa sababu ama wadhifa maalumu.

Heri nywele waweza kutetewa na daktari kwa sababu za kiafya, lakini ndevu hazina sababu yoyote wala kisingizio chochote kile kuzifuga.

Sasa kifupi hiyo picha inaonesha udhaifu mkubwa na utovu wa kinidhamu katika jeshi la magereza katika kipindi hiki kama picha hiyo itakuwa ni mpya.

Hapo kuna maaskari na maofisa pamoja na mafundi karakana wamesimama kwa pamoja.

Nikianza kuifasiri hiyo picha ipo hivii?:

Sare zote za maafisa na askari ukiachana na jampa la kifundi la bluu, sweta ama hilo koti la mvua, sare zao zingine zote zinatakiwa kuwa na rangi moja yenye kufanana, bila kuonesha utofauti wa kimatoleo kwa jinsi yoyote ile.

Sasa hapo, inaleta taswira kuwa kila askari ama ofisa anajishonea sare mwenyewe kivyake vyake, maana yake hawana chanzo kimoja.

Wanashona kama wafanyavyo watoto wa shule!

Kila mmoja atashona kwa kuona, kudhania ama kufananisha rangi, kiubinadamu kila mtu huwa ana uwezo tofauti wa kufasiri rangi machoni mwake kama hapatakuwa na utaratibu na kanuni ya chanzo kimoja cha kushonea sare.

Je, Mkuu wa jeshi la Magereza anaweza akaridhishwa na hali hiyo kweli?

Ninahisi kuna uozo mkubwa sana Wizara ya mambo ya ndani ambako mkuu huyo wa jela hawezi kusema lolote akasikilizwa.

Kama si hivyo basi na yeye atakuwa ni mnufaika mkubwa wa madhila machafu wapatayo maafisa na askari wa jeshi lake hadi kupelekea kushindwa kuchukua hatua madhubuti kuondoa tatizo hilo linaloonekana kuwa ni sugu.

Wakati wa awamu ya tano, ninakumbuka Rais Magufuli aliwahi kushitukiza kama sikosei Ukonga akakumbana na uozo mkubwa wa namna hiyo unaohusiana na sare na tenda za kushona sare kufanywa na mke wa boss wa Magereza, hali iliyopelekea boss wa jela kufukuzwa kutokana na kashifa hiyo.

Sasa na huyu wa sasa inaonekana naye hana tofauti na mtangulizi wake, ingawa mwanzo tuliaminishwa raia kuwa yeye ni mjeda, hana mchezo, lazima atalikarabati jeshi la Magereza hima, lakini sasa nadhani keshalambishwa asali!

Ni Magereza tu kuna nini huko?

Mbona Polisi na wanajeshi wanavaa smart sana!
Mimi na jamaa yangu yupo magereza ni ngumu nguo zao kuwa nadhifu na kuonekana mpya kila mara sababu ya majukumu yao ivi unaenda shamba kila siku inategemea nguo kuacha kupauka
 
Back
Top Bottom