kichakaa man
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 5,479
- 5,068
Acha ujinga ww unaangalia BBC wakat unajua wale ni wazee wa propaganda kudanganya ukwel kuhusu n.Korea ila mambo anayofanya ndiyo utajua yupo vizurSema Google yenu mda mwingine zinawadanganya Leo hii China akimuwekea vikwazo Korea kaskazin ndo utajua yule jamaa hajiwezi mpaka sasa hamna jeshi maskini kama la korea kaskazin kwa nchi za ukanda huo ukitaka kujua hilo angalia BBC Leo uone Kim katoa kauli gan eti anataka jeshi lake liwe kama LA Marekani hapo bado unasema anauwezo au source mnasoma kutoka kwenye gazet LA KIU