Picha: Ifahamu North Korea hakika kwa picha hizi utabaki kinywa wazi

Kipindi nina miguu mirefu nilikaa 8 days kamji fulani kanaitwa Songjin, pako bomba tu, huwezi kufananisha na Dodoma! Wale jamaa wana uzalendo sana. Yes! Woga pia upo ila c kama wanavyochafuliwa na vyombo vya habari vya Magharibi! Suala la kutorokea SN sioni ka ni issue sana, mbona hata Ethiopia, hata Tz watu wanazamia South Africa wakidai life hapa ni gumu?

NK pako poa tu pamoja na changamoto mingi!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Km vile umejitahidi kwa uwezo wako. Raia wa nchi nyingi huwa wanasafiri kwa issue nyingine, ila sio njaa.Na ktk wanaokwenda kuna wengi wanarudi na kwenda. Ila North Korea hata yale mabomu yakiondoka wakiambia nendeni south, kelele za ukaburu/ubeberu zitaisha ghafla km zetu.Itabidi south waanza pambana na washamba, ktk kila kitu ktk TV, ktk magari watu wanabaka wanawake kwa kuwaona ktk nguo za mjini, mashuleni wanafunzi wataanza kutana na walimu wagumu na wenye mastory ya kili ndogo km yule prof wa makinikia. NI shiida.
 
Acha utani ktk life km akina kabudi. wanogopa internet ni wale wanaofanana na mwanaume anayetaka kuonekana babu kubwa.Ila hajiaminikila akicheki maungo yake, matokeo yake anapambana mkewe asiende popote palipo na wanaume, hata hospital asitibiwe na wanaume. Sasa hii shida sio ya kawaida sana na sio afya kwa ndoa na utu.

Sijakuelewa
 
Kumbe inawezekana Taifa likajitegemea kabisa na likazidi kusoga mbele,tangu 1990 mpaka leo?,Taifa la North Korea lingekuwa halina vikwazo lingekuwa ni miongon mwa Mataifa yenye uchum mkubwa Dunian,ila Taifa Hilo limeonesha ujasir na kutoyumbishwa na Taifa lolote
Nani kakuambia kuwa taifa litaachwa na dunia watu wafe?Hata km halina serikali km mauritania na somalia. nnai kakuambi wajamaa wanajali hasara?Viongozi wa kijamaa ni km minyoo, wanakula vinono hata km mgao hautoshi raia wao.Hujaona bongo hadi leo siku kiongozi anakuja kitaa,barabara zinafukuliwa mbaya, mawe yanapakwa rangi, hata km siku nyingine wagonjwa, shughuli zakibiashara zilisimama kwa vile barbara ilikuwa haipitiki. Huyo jamaa hivyo viwanja havina watu, siku anaenda kufanya maigizo yake ndio kinapakwa rangi ili king`ae ktk tv, kisha watu wanaingizwa kwa malori/mabasi km ccm. na wengi ni makada na watu wa usalama na wanajeshia mbao watavaa kiraia.

Kwa uhasilia ni kwamba km asingefungiwa angekuwa kaleta hasara sana huyo jamaa, angekuwa kawanunua sana wapiga poyoyo wa kitz ili wawapigie debe ktk umoja wa mapumbavu AU.
 
Sijakuelewa
Angalia vizuri hii picture hapa chini
8.picha zingine

022c4149c025ef04ff5104178dfde8c2.jpg
Hawa wanajeshi wan amaigizo km ya ccm .Kuna siku huwa wanalia sana ,eti kwa mapenzi na kiongozi wao. Km akina nkamia wanavyolilia miaka 7 mingine.
 
Dens Rodman ni mshikaji wa mapank kumbuka mapank kamesomea usa kakijinasibu ni raia wa south korea na denis walikuwa washikaji chuo....pia walipokamatwa wamarekani kwa kuifanyia NK ujasusi aliombwa Denis akawaombee msamaha alienda na akakutana na mapank wakaachiliwa huru mwanzoni mwa january.
Kim hajasomea Marekani.
 
Wameendelea nini? Vitu vilivyotajwa hapo hata SA vipo.
Kwani unaposema hata SA vipo sie hao SA tunawafikia hata kwa 20%??? Huko SA wanatengeneza dawa, simu, silaha kwanzaa hata hayo magari yanayotengenezwa SA mengi ni zile brand za ulaya wamekuja kufungua subsidiaries zao huko
 
Heri yao bora wao kuliko sisi tunaosema hatujatengwa lkn hatuwezi hata kutengeneza kipimo cha.kupima mkojo
 
Hao jamaa ni wagonvi sana. Kwao hakuna hata uhuru wa Kuabudu. Furaha yao ni ya kitambo tu, kisha wanakufa na roho na nafsi zao kwenda motoni.
 
why Tanzanian hatuna vikwazo ila tunaburuza mkia mpk kipimo cha kupima furaha kinaonyesha tumepitwa na furaha na packistan yanii nchi kila siku ni vita lakini inafuraha kutushisha sisi ambao hatuna vita
Kwakweli hili swali wangetujibu wale wenzetu wa Lumumba
 
Who told you hawana access ya internet?? Nyie watu mbona mnapenda kukalili
Wanaopata ni ma generals tuu. Eti waone na kuchuja vitu kwanza ili waone kipi kinafaa kwa wananchi ndipo waandae uchambuzi wao na kuwapatia wananchi. Ila kwa ujumla wananchi hawana internet.
 
Asante kwa ufafanuzi,Mi nilidhanimarekani
yeyote akionekana NK anakamatwa na kuuawa?
ndo nikajiuliza huyo black kafikaje?
Hivi waafrika tuna nini, tukiwa maarufu tuu lazima tujitoboe masikio, poa, mpaka ulimi,,
Mbona wazungu hawapo hivyo
Tuna nini sisi!!!!
 
1.North Korea ina viwanda vyake zinazotengeneza magari ya abiria na usafiri haitegemei kuagiza magari kutoka nje kama USA ,ulaya yote na mahasimu wao Japan wanajitegemea ni kosa kutumia magari ya mahasimu ambao ni nchi za jumuiya ya NATO, USA na japan
63cdadcaa367a1d0f0fc539b6209b619.jpg


6b8b1a6fba1457e2417be3295aae48ac.jpg


04bb19cf4c50161548b21546b9a089cc.jpg



1b2029cf25a606a7825b73a95d3e5a44.jpg


6442eacb9be4e5f18c75aa3386f0cb2a.jpg

Hiki ni moja ya kiwanda kikubwa kinachotengeneza magari aina ya pyeonghwa nchini humo .

2.North Korea wana reli za kisasa na treni zinazotumia umeme hivyo kurahisisha usafiri wa umma

cc0ae742974ac3da9c4ccffae4f86758.jpg


2897458d31d4ca576f3d7953c8f2e1f2.jpg


d0108c7ca85b921bb7d8589fd37cf38e.jpg


3.North Korea hawatumii operating systems za nje kama windows,Ubuntu, Androids bali wametengeneza OS yao itwayo redstar ili kujiimarisha kiulinzi.sio wategemezi

d0afd20f443127e4b371d1c3c4f8f16e.jpg


b64b9562b1a9e8785777441026359997.jpg


bac57b153824d3ef75e951ffe920ba62.jpg


4.uwanja wa michezo wa Rungrado uliopo North Korea ni mkubwa kuliko uwanja wa England wa Wembley ,uwanja wa Rungrado unaingiza watizamaji 114,000 wakati uwanja wa Wembley unaingiza watazamaji 90,000


07736876f6e5b36eab74c24be73f6b85.jpg


a0af0e39da4c5f0a8721c61ac3923ce0.jpg



Pia uwanja mwingine wa Kim II sung unaingiza watazamaji 50,000


5.North Korea wana pharmaceutical industry wanatengeneza madawa kwa ajili ya tiba kwa binaadamu,wana sayansi wakiwa kiwandani wakiumiza vichwa

577b9920849ea51626e80b432b53a758.jpg


c34a1e54735214f70e25f53ae5d0c648.jpg


6.North Korea kupitia viwanda vyake vya ndani wanatengeneza simu zao wenyewe "smart phones " ni kosa kutumia simu za USA na south korea


4765a573498d88b912304bbfef5bcdc8.jpg


b302e53e16216e2342adc660f9171502.jpg


7.North Korea wanatengeneza silaha zao wenyewe kuanzia makombora ya masafa marefu,ya kati na mafupi ,silaha za nyuklia na magari aina ya Lori

4ed8b1ae5ac9ee111e211a92b80b1fee.jpg


8.picha zingine

022c4149c025ef04ff5104178dfde8c2.jpg




be05bf03148857bdb91566d88879446a.jpg


North Korea ni taifa iliyotengwa na dunia ni dhambi na makosa kufanya biashara na North na ni taifa iliyowekewa vikwazo tokea mwaka 1990.Licha ya vikwazo na kutengwa na dunia lakini wamepiga hatua na wanajitegemea na ni taifa huru hawapelekeshwi pelekeshwi
Duu eti north kolea inalinganishwa na tz hahaaa vicheko
 
why Tanzanian hatuna vikwazo ila tunaburuza mkia mpk kipimo cha kupima furaha kinaonyesha tumepitwa na furaha na packistan yanii nchi kila siku ni vita lakini inafuraha kutushisha sisi ambao hatuna vita
Tanzania kosa lilitokea 1985,1995,2005
 
Back
Top Bottom