Picha: Huu ndio uhalisia wa Dada zetu Instagram

Mwanga Lutila

JF-Expert Member
Nov 10, 2016
3,896
12,686
Ufake uko mwingi sana.
natachandahiro-___CECTMDOhUUg___-1.jpg
ms___fatma-___CLWhxCWnghQ___-.jpg
 
Kufuatilia mambo ya wanawake kunakupunguzia thamani ya kuonekana kama mwanaume, "be matured" waache wanawake wafanye vile roho inapenda maisha mafupi haya, waache wajifurahishe!
 
Nionavyo muwaache tu sababu wanafanya ile kitu ambayo baadhi ya Me wengi mnapenda

Na ndio sababu ikatokea mwenye umbo la kawaida akajirusha basi hata upokeaji wa hiyo picha unakuwa mdogo tofauti na hao wanojiedit.
 
Back
Top Bottom