Mwanga Lutila
JF-Expert Member
- Nov 10, 2016
- 3,948
- 12,899
Ufake uko mwingi sana.
Ameamuwa kufanya kitu kinachomfurahisha afu mkuu acha kufatilia mambo ya wanawake.
Vile jamaa anakuangalia ulivyompa ya usoAmeamuwa kufanya kitu kinachomfurahisha afu mkuu acha kufatilia mambo ya wanawake.
CAG anasemaje? Mzigo upo Salama!
Mi siwezi hizi mambo maana ni kujiongopea mwenyewe uhalisia wako,CAG anasemaje? Mzigo upo Salama!