Picha: Huu mmea umetajwa na rais wa Madagascar kuwa unatibu corona kwenu upo?

kukumweupe

JF-Expert Member
Apr 18, 2020
439
599
Tetradenia riparia .ni mmea unaopataikana sana afrika na inadaiwa hapa Tanzania upo sana sijui kwa kabila lako unaitwaje kama hujui uliza tusaidiane kuupata tunywe sio lazima tuagize.

Rais wa Madagascar Andri Rajolina ameutangaza kuwa unatibu corona ndani ya siku tatu tu

Je umeuona wapi na kwa kabila lako unaitwaje?
Je ni dawa kweli ?

FB_IMG_1588390013613.jpeg

====

Huu mmea una majina mengi pamoja na jina ‘Ginger bush’ kwa kiingereza huku maeneo mengine ukiitwa ‘watersalie’ nazulu wanauita ‘Iboza’ mti ambao umetumika kwenye dawa inayodaiwa kutibu #COVID19 na Rais wa Madagascar

Mmea huu umeandikwa kuwa ni tiba ya asili iliyokuwa inatumika na wazulu kutibu maradhi ya kifua, mafua, tumbo na walikuwa wakiunusa wanapotaka kutibu maumivu ya kichwa

Sehemu kubwa inayotumika ya mmea huu ni majani yake, ila sehemu ya shina lake hutumika ikiwa bado teke. Mmea una α-terpineol (22.6%), fenchone (13.6%), β-fenchyl alcohol (10.7%), β-caryophyllene (7.9%) and perillyl alcohol (6.0%); and phytosterols

Madhara ya dawa hii bbado hayajaandikwa kwa kuwa inaumika kwa kunywa kama chai. Bado mamlaka za iba hazijathibitisha uwezo wake wa kutibu #CoronaVirus

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom