Picha hizi zilipigwa tarehe 5 Machi 1955 katika uwanja wa ndege Dar, Safari ya UNO

Yericko Nyerere

JF-Expert Member
Dec 22, 2010
16,987
20,270
Nimelazimika kuweka sawa upotoshaji wa muda mrefu wa mzee wangu Mohamed Said juu ya picha hizi...

Picha hizi zilipigwa tarehe 5 Machi 1955 katika uwanja wa ndege jijini Dar es Salaam, Picha ya kwanza Mwalimu Julius Kambarage Nyerere akiwa na Wanawake "watawa" wa Kanisa Katoliki kutoka shirika la Malkoly Sister, Picha ya pili ni wanachama wa TANU, wote kwa pamoja wakimsindikiza Julius Nyerere akisafiri kwenda UNO, Kanisa Katoliki ndio walioratibu na kugharamia safari hiyo ya kwanza ya Julius Kambarage Nyerere kwenda UNO kudai uhuru... Shirika hilo lilifanya hivyo chini ya mwavuli wa shirika la Kijasusi la Jeisuti la Kanisa Katoliki.

__________

Kwa mfano, hali ya Tanganyika kuwa eneo ka kudhaminiwa, ilisababisha Uingereza kutokubali walowezi wengi kuja hapa. Vivyo hivyo, hali ya Afrika ya Kusini Magharibi kuwa eneo la kudhaminiwa, ilizuia sehemu hii kuwa jimbo la Afrika Kusini kuwa msingi kwa uhuru wake kama nchi ya Namibia.

Jukumu la kuandaa nchi hizo kupata uhuru liliratibiwa na shirika hilo la kijasusi (Jeisuiti) kwa ustadi mkubwa bila baadhi ya makoloni kujua. Lakini, lilikumbana na kiunzi/ukinzani hasa kufuatia mnyumbuliko wa kiimani ndani ya Ukristu, kufuatia nguvu ya Cambrige (Anglikana). Mgogoro huo ulikuzwa kwa kuwa Anglikana nao tayari walikuwa wameaandaa shirika lao la kijasusi la Fabian Society, maalumu kwa minajili ya kuwaandaa Vijana katika makoloni Uingereza hususani barani Afrika, kukabidhiwa nchi zao na kwa Tanganyika Fabian Society wao walikuwa wamemuandaa Chifu David Kidaha Makwaia huku Jeisuti ya Katoliki wakiwa wamemuandaa Julius Nyerere. Rejea kitabu cha Vatican Assassins cha Eric Jon Phelps akieleza nguvu ya Vatican katika kudhibiti ulimwengu, anakazia katika harakati za ukombozi duniani hasa Afrika na nafasi ya kanisa chini ya Jeisuti.

Barani Afrika, Jeisuiti ilibadili mbinu kwa kuwa dola la Kiingereza, lilikuwa kikwazo kwa sehemu fulani. Haikujikita kwenye dola, bali ilisimama katika muundo wa shirika likifanya shughuli zake ndani ya Kanisa. Dhamiri shahiri, ilikuwa lazima itimie, kama ilivyoelezwa mwanzoni kuwa hawa ndio wabobevu wa elimu ya juu kwa kila nyanja na ndio wanaotawala ulimwengu. Kwa hiyo, hivyo vikwazo havikukwamisha wao kufikia malengo.

Katika Tanganyika, chini ya Udhamini wa Shirikisho la Kimataifa, kulikuwa na harakati za hapa na pale za kudai haki za kiraia kwa wenyeji. Ifahamike kuwa vyama vya harakati Tanganyika vilikuwa vingi sana, na vipo vilivyokuwa vikipingana vyenyewe kwa vyenyewe. Mwaka 1927 hadi 1929, kanisa Katoliki nchini, chini Joseph Gabriel Zelger, lilibainika kuingiza siasa katika utendaji kazi wake Tanganyika, kitendo hiki kiliwakwaza wakuu wa mamlaka ya kikoloni na kupelekea majasusi wakikoloni wapendekeze aachishwe uongozi wa kanisa nchini. Ni kweli. Tar. 12 Februari, mwaka 1929, Zelger alistaafu wadhifa wake kwa lazima.

Ni mwaka huohuo wa 1927, ndio Chama cha African Assosiotion (AA) kilianzishwa na Gavana Sir David Cameron, maalumu kwa minajili ya kuratibu mambo ya sherehe za watu weusi pembeni ya mji, huko mtaa wa Stanley (leo Lumumba) na akawapa jengo la ofisi mahali leo wanapojiita TANU ilizaliwa. Lakini, historia ya Tanganyika haiwataji kinagaubaga waasisi wa AA: Rais wa kwanza, Mwalimu, Cesil Matola (msomi wa mwanzo kabisa enzi za Mjerumani kutoka kabila la Wayao), Katibu Mkuu wa kwanza, Klest Sykes (Mzulu, Baba yake alikuwa mateka wa kikoloni kutoka Afrika Kusini), Mwekahazina, Ali Ramadhan (Mzaramo na mvuvi maarufu wa pwani la Azania leo bahari ya Hindi).

Hawa ndio mwaka 1927, waliounda Chama cha kwanza kabisa cha kutetea maslahi ya weusi Tanganyika na shughuli zake zilikuwa ni kuratibu sherehe za waafrika tu. (Chama cha walevi kwa lugha nyingine). Mwaka 1933, Mwalimu Cesil Matola alifariki na nafasi yake ikakaimiwa na katibu mkuu wa chama hicho, Bw. Klest, mpaka ilipofika mwaka 1948, yakatokea mapinduzi yaliyoongozwa na mtoto wa Klest, aliyeitwa Abdulwahid Sykes.
Abdulwahid Sykes alitoka kupigana Vita Kuu ya Pili ya Dunia, huko Burma. Aliporudi, alikuwa na mawazo ya ujana kutoka vitani, akampindua baba yake kwa vurugu na ngumi. Mapinduzi yaliyoitwa ‘ondoa wazee’. Kisha chama cha AA kikabadilishwa jina na kuitwa TAA ambapo Rais wake wa Kwanza, akawa Daktari wa binadamu Vedasto Kyaruzi (Mhaya), aliyekuwa anafanya kazi Kingorwila Mkoani Morogoro.

Huyu ndie daktari wa binadamu wa kwanza kabisa wa Kiafrika, Tanganyika. Katibu Mkuu, akawa Abdulwahid Sykes mwenyewe na Mweka Hazina akawa Dosa Azizi. Miaka miwili tu ya chama kipya, yaani 1950, Daktari Vedasto Kyaruzi, kwa ghiriba za wakoloni, alihamishiwa Sengerema Mwanza, kama sehemu ya kumuondoa jijini Mzizima leo Dar es Salaam awe mbali na harakati. Nafasi ya rais wa TAA ikakaimiwa na Bw. Adbulwahid, mpaka mwaka 1953, uchaguzi ulipofanyika na Julius Nyerere akashinda pale kwenye ukumbi wa Anautoglo (Mnazimoja ya leo).

Mnamo tar. 7 Julai, mwaka 1954, Vijana (wazee wa Kariakoo) wakiongozwa na Mwl. Nyerere, walikubaliana wazo la kuhuisha chama kutoka TAA kwenda TANU, chini ya uratibu wa karibu wa Wajeisuiti (Askofu Maranta) na Waislamu (Sheikh Issa bin Amir) ijapokuwa alikuwa amefariki mwaka mmoja nyuma, hekima za Sheikh huyu ziliendelea kusaidia. Na zaidi ni kuwa safari ya kwanza ya Mwl. Nyerere ya kwenda UNO tar. 5 Machi, mwaka 1955, kanisa Katoliki lilitoa msaada kwa chama cha TANU wa tikiti ya ndege ya kwenda na kurudi. Lilifanya hivyo kupitia shirika lake la Maryknoll Sisters la New York Marekani.

Si hivyo tu, bali katika moja ya utani wa Mwl. Nyerere wenye ukweli ndani yake, aliwahi kusema kuwa makasisi Walsh na Art Wille wa Shirika la Maryknoll ni mabosi wake, akikumbuka malipo ya Shilingi mia sita (600/=) angali ameacha kazi ya ualimu, akiwa kijijini Butiama. Kuna ushahidi wa kihistoria pia unaochagiza habari hizi kwamba majasusi wa Kanisa walimuandaa Mwalimu Nyerere kuja kuiongoza Tanganyika mpya. Barua ya lugha ya Kilatini, ya kitume, Tot Tangaeque, ya Papa wa Roma, ya tar. 8 Novemba, mwaka 1984, kwenda kwa Kanisa Katoliki Tanzania, inautangazia ulimwengu kwamba Tanzania itakuwa chini ya himaya ya kanisa kwa mwavuli wa Bikira Maria Imakulata.

Miaka thelethini na mbili (32) baadae, Kanisa Katoliki Tanzania chini ya Mwenyekiti wa Baraza la Maaskofu Tanzania, Askofu Tarcisius J.M. Ngalalekumtwa, linaijibu barua hiyo kwa barua yenye kumbukumbu nambari TEC/PR/1 ya tar. 10 Novemba, mwaka 2016, likikubaliana na kuitangazia dunia kuwa siku ya Uhuru wa Tanganyika, tar. 9, mwezi 12 ya kila mwaka itakuwa pia siku ya kuadhimisha Sikukuu ya Bikira Maria Imakulata. MSIMAMIZI wa JAMHURI ya MUUNGANO wa TANZANIA......

FB_IMG_1520681710162.jpg

Hizo picha mbili kuna mvutano wa mimi na Mohamed Said tangu jana,

Awali Mohamed Said alipost hiyo picha ya wanawake waliosimama na Mwalimu Nyerere, akashindwa kuiandikia majina yao akaishia kusema tu ilipigwa siku ya safari ya UNO ya Mwakimu Nyerere,

Mimi nikamwambia hao ni watawa wa shirika la Marknoly Sisters la Kanisa Katoliko lililomlea Nyerere tangu utoto wake wakimsindikiza kwenda UNO kudai uhuru, na katika safari hii Shirika hilo liligharimia tiketi ya ndege kwenda na kurudi Marekani.

Mohamed baada ya kuona hivyo akaja na majina ya watu wawili katika picha hizo akimtaja bibi Titi Mohamed na Mwingine Chiku Kisusa,

Nikamletea picha ya pili ya wanatanu waliomsindikiza siku hiyo Mwalimu Nyerere na picha hiyo ilipigwa hapohapo, mpigaji huyohuyo, mwalimu Nyerere akiwa katika mavazi yale yale, na Bibi Titi Mohamed akionekana vema kwa mavazi yake halisi sio yale ya watawa.

Hapo ndio utata unapoibuka ambapo Mohamed na wenzake wamekuja na hoja kwamba baibui za wanawake wa kiislamu zamani zilikuwa kama mawazi ya watawa wa kikatoliki,

Lakini hawajibu hoja ya kufanana kwa vazi la Nyerere kwenye hizi picha huku wanayemtaja kuwa ni bibi titi katika picha ya Watawa wa kikatoliki akionekana tofauti katika picha ya wanatanu, mazingira ya picha yanaonyesha picha zilipigiwa sehemi moja, angalia upande wa kushoto wa picha zote na upande wa kulia, swali dogo je Bibi Titi alikwenda kuvua baibui yake ili apigwe picha na wanatunu? Jibu ni hapana, swali la pili je Mwalimu Nyerere alivaa mavazi yale yale mwaka 1955 anaposafiri na mwaka 1958 aliposafiri mara ya pili kwenda UNO? Jibu ni hapana,

Hoja zote zinajibika kwa kusema makundi haya yote yalikuwepo uwanja wa ndege tarehe 5 machi 1955 kumsindikiza Julius, Watawa hao walezi wakuu wa Mwalimu walikuwepo na ndio hao waliopo katika picha mmja wao akiwa mnene wakufanana na Bibi Titi, na pia wanachama wa Tanu walikuwepo akiwemo Bibi Titi Mohamed mwenyewe...

Kwa bahati nzuri watawa hawa baadhi yao bado wazima mpaka leo wapo Musoma, na wengine wamefariki, katika picha hapo ni Mary Reez na Sista Rosary Paul mwingine jina sijalipata vema.

Kinachowastua wengi ni kwakuwa tu awali hawakujua uhusika kwa Kanisa katika harakati za uhuru Afraka na Tanganyika, na ili waujue undani wake wajipe nafasi ya kusoma kitabu hiki cha Ujasusi wa Kidola na Kiuchumi chenye utafiti wa kina kwa zaidi ya miaka 15, mshangao wao utakamilishwa kwa kujifunza mapya na mazuri....

Na Yericko Nyerere
 
Duuuh, haya buana. Mohamed aje na tuhuma zake nyingine sasa. Wakati wewe ukitetea wakristo, Mohamed anatetea waislam.

Lkn nina uhakika zaidi ya kupata mulo hakuna anayeweza kusema anafaidi matunda ya uhuru kama vile nafsi inavyomtuma.

Na nina hakika Mo amefaidi nchi hii kuliko Yerico, lkn ndo huyo analalama kila mwaka kila siku
 
Nimelazimika kuweka sawa upotoshaji wa muda mrefu wa mzee wangu Mohamed Said juu ya picha hizi...

Picha hizi zilipigwa tarehe 5 Machi 1955 katika uwanja wa ndege jijini Dar es Salaam, Picha ya kwanza Mwalimu Julius Kambarage Nyerere akiwa na Wanawake "watawa" wa Kanisa Katoliki kutoka shirika la Malkoly Sister, Picha ya pili ni wanachama wa TANU, wote kwa pamoja wakimsindikiza Julius Nyerere akisafiri kwenda UNO, Kanisa Katoliki ndio walioratibu na kugharamia safari hiyo ya kwanza ya Julius Kambarage Nyerere kwenda UNO kudai uhuru... Shirika hilo lilifanya hivyo chini ya mwavuli wa shirika la Kijasusi la Jeisuti la Kanisa Katoliki.

__________

Kwa mfano, hali ya Tanganyika kuwa eneo ka kudhaminiwa, ilisababisha Uingereza kutokubali walowezi wengi kuja hapa. Vivyo hivyo, hali ya Afrika ya Kusini Magharibi kuwa eneo la kudhaminiwa, ilizuia sehemu hii kuwa jimbo la Afrika Kusini kuwa msingi kwa uhuru wake kama nchi ya Namibia.

Jukumu la kuandaa nchi hizo kupata uhuru liliratibiwa na shirika hilo la kijasusi (Jeisuiti) kwa ustadi mkubwa bila baadhi ya makoloni kujua. Lakini, lilikumbana na kiunzi/ukinzani hasa kufuatia mnyumbuliko wa kiimani ndani ya Ukristu, kufuatia nguvu ya Cambrige (Anglikana). Mgogoro huo ulikuzwa kwa kuwa Anglikana nao tayari walikuwa wameaandaa shirika lao la kijasusi la Fabian Society, maalumu kwa minajili ya kuwaandaa Vijana katika makoloni Uingereza hususani barani Afrika, kukabidhiwa nchi zao na kwa Tanganyika Fabian Society wao walikuwa wamemuandaa Chifu David Kidaha Makwaia huku Jeisuti ya Katoliki wakiwa wamemuandaa Julius Nyerere.

View attachment 710218

Hizo picha mbili kuna mvutano wa mimi na Mohamed Said tangu jana,

Awali Mohamed Said alipost hiyo picha ya wanawake waliosimama na Mwalimu Nyerere, akashindwa kuiandikia majina yao akaishia kusema tu ilipigwa siku ya safari ya UNO ya Mwakimu Nyerere,

Mimi nikamwambia hao ni watawa wa shirika la Marknoly Sisters la Kanisa Katoliko lililomlea Nyerere tangu utoto wake wakimsindikiza kwenda UNO kudai uhuru, na katika safari hii Shirika hilo liligharimia tiketi ya ndege kwenda na kurudi Marekani.

Mohamed baada ya kuona hivyo akaja na majina ya watu wawili katika picha hizo akimtaja bibi Titi Mohamed na Mwingine Chiku Kisusa,

Nikamletea picha ya pili ya wanatanu waliomsindikiza siku hiyo Mwalimu Nyerere na picha hiyo ilipigwa hapohapo, mpigaji huyohuyo, mwalimu Nyerere akiwa katika mavazi yale yale, na Bibi Titi Mohamed akionekana vema kwa mavazi yake halisi sio yale ya watawa.

Hapo ndio utata unapoibuka ambapo Mohamed na wenzake wamekuja na hoja kwamba baibui za wanawake wa kiislamu zamani zilikuwa kama mawazi ya watawa wa kikatoliki,

Lakini hawajibu hoja ya kufanana kwa vazi la Nyerere kwenye hizi picha huku wanayemtaja kuwa ni bibi titi katika picha ya Watawa wa kikatoliki akionekana tofauti katika picha ya wanatanu, mazingira ya picha yanaonyesha picha zilipigiwa sehemi moja, angalia upande wa kushoto wa picha zote na upande wa kulia, swali dogo je Bibi Titi alikwenda kuvua baibui yake ili apigwe picha na wanatunu? Jibu ni hapana, swali la pili je Mwalimu Nyerere alivaa mavazi yale yale mwaka 1955 anaposafiri na mwaka 1958 aliposafiri mara ya pili kwenda UNO? Jibu ni hapana,

Hoja zote zinajibika kwa kusema makundi haya yote yalikuwepo uwanja wa ndege tarehe 5 machi 1955 kumsindikiza Julius, Watawa hao walezi wakuu wa Mwalimu walikuwepo na ndio hao waliopo katika picha mmja wao akiwa mnene wakufanana na Bibi Titi, na pia wanachama wa Tanu walikuwepo akiwemo Bibi Titi Mohamed mwenyewe...

Kwa bahati nzuri watawa hawa baadhi yao bado wazima mpaka leo wapo Musoma, na wengine wamefariki, katika picha hapo ni Mary Reez na Sista Rosary Paul mwingine jina sijalipata vema.

Kinachowastua wengi ni kwakuwa tu awali hawakujua uhusika kwa Kanisa katika harakati za uhuru Afraka na Tanganyika, na ili waujue undani wake wajipe nafasi ya kusoma kitabu hiki cha Ujasusi wa Kidola na Kiuchumi chenye utafiti wa kina kwa zaidi ya miaka 15, mshangao wao utakamilishwa kwa kujifunza mapya na mazuri....

Na Yericko Nyerere
UNapoteza muda kubumshawishi MOhamed Said ambaye anadandia sifa za waislamu wa enzi zile, ili zimwagike kwa waislamu wa enzi hii. Kwake yeye kama muislamu wa miaka ya 1950 alifanikiwa, anaamini nayeye leo hii alistahili kufanikiwa.

Mwambieni Mohamed Said atafute sifa zake, atafute mafaniko yake ya leo.
 
Unisamehe Yericko hilo ni vazi la baibui la asili, limekuwa likivaliwa mpaka kwenye mid eighties.

Kwa umri wangu mimi nimewahi kuvaa baibui za aina hiyo.

Sijawahi kuona masista wamevaa aina hiyo
Mbona mnalazimisha muwe ninyi wakati sio
 
Yericko hicho kitabu chako nitakipataje, hakuna namna imebidi nikisome tu.
 
Mungu akubariki
 
Story zenyewe ni za kuandikwa na mkoloni, eti ziwa victoria lilivumbuliwa na mzungu, ,ziwa nyanza limekuwepo karne nyingi mungu akiumba dunia, wasukuma wakilitumia kwa shughuli zao za kiuchumi, leo eti ni ziwa victoria

Walter Rodney,na kitabu chake, "how europe underdeveloped África,"aliuwawa kwa kusema ukweli, pamoja na jina lake la ubatizo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom