orturoo
JF-Expert Member
- Mar 13, 2017
- 2,675
- 4,241
ah salahlee?,dactar umetishavipi anakohoa?
ah salahlee?,dactar umetishavipi anakohoa?
Kiswahili ni 'mkanda wa jeshi'.Kwamba haufahamiki kwa kiswahili huo ugonjwa
True.Hiyo ni herpes zoster (mkanda wa jeshi) nenda kapime afya kwa uhakika zaidi, mie niliumwa hiyo kitu na kucheki ngoma sina.
Kama kumbukumbu zangu ziko sawa alinipa dawa fulani hivi zinaitwa acyclovir kitu kama hicho na ndani ya siku kadhaa tu nikawa fresh!! Alinipa sababu nyingi mnoo za ugonjwa huo, kikubwa nenda hospital.