Picha: Hizi ni dalili za ugonjwa gani?

Usi panick ki english ni muhimu hata kama hukuelewa darasani,piga english course kitakusaidia kwenye ulimwengu wa sasa

Unamaanisha tayari amekanyaga miwaya!?
Unaonesha level yako ya ujinga ipo huu hizo ni medical term ni ngumu kwa mtu wa kawaida kuelewa.
 
Hyper zoster

Inv PCR

immunohistochemistry

Vesicular fluids cultur

Mana rash unaziona, prts unaziona some of bns n' dermtn unaziona
 
Umeme unapunguza kinga mwilini ndo herpes inaingia kati
Nmeshapata kama si kushuhudia patient kadhaa wanao herpes zoster virus lakin HIV negative. .. hii iki maanisha kuwa mtu immunity yake inaweza kuwa low kwa sababu mbali Mbali ndio maana akapata ugonjwa huo... pia haya yanaweza kukupata Bila umeme , criptococus meningitis..
 
Uko sahihi sana. Shida ni watu kucram na kutotaka kusumbua kichwa zaidi. Binafsi nishashuhudia watu wawili wakiumwa shingles na hawakuwa HIV positive. Walirudi kwenye hali yao baada ya sometime in the future.

Mtu anayekuwa na shingles and then HIV positive ni ngumu mno kupona., it takes very long au ikawa chronic kbs. Mtu mwenye shingles anapaswa kuimarisha kingaze sana.
 
Yeah IDS inadababishwa na vitu vingi...
Na yote hayo yanatokea kwa mtu yyte...
Lakini mimi sijawahi kuona au hata kusoma article ya patient wa crypro ambaye ni -ve
 
sawa sawa mkubwa.

Back
Top Bottom