Picha: Hizi ni dalili za ugonjwa gani?

Huu ujinga upo africa msomi lazima ajue english kwamba rusia,china na india hawajaenda shule english sio kipaumbele chao mpuuzi na mtumwa wewe
Usi panick ki english ni muhimu hata kama hukuelewa darasani,piga english course kitakusaidia kwenye ulimwengu wa sasa
That is dhingles or herpes zooster caused by zoster virus which affect more immune copromised person
Unamaanisha tayari amekanyaga miwaya!?
 
Usi panick ki english ni muhimu hata kama hukuelewa darasani,piga english course kitakusaidia kwenye ulimwengu wa sasa

Forum na post ipo kwa kiswahili huu upuuzi ndio mnaofundishwa huko shule za kata?

Kwamba wachina wapo nyuma ya dunia kwakua english sio kipaumbele chao?

Huu utumwa upo afrika

English nagonga vizur sana ila sio mtumwa wa fikra
 
Hii picha nimeipata kwenye forums za Kenya sasa hawajui huu ni ugonjwa gani, Wengine wanasema ni Herpes zoster, wengine wanasema Nyairobi fulae sijui ndiyo ugonjwa gani....
67875919_2309397329277700_7018514639461810176_n.jpg
Mkanda wa jeshi huo.
 
Forum na post ipo kwa kiswahili huu upuuzi ndio mnaofundishwa huko shule za kata?

Kwamba wachina wapo nyuma ya dunia kwakua english sio kipaumbele chao?

Huu utumwa upo afrika

English nagonga vizur sana ila sio mtumwa wa fikra
Kuongea lugha ya jamii/taifa jingine ni utumwa wa fikra?
 
Herpes zoster au mkanda wa jeshi...
Huu hauna tabia ya ku- cross katikati ya mwili....
Jamaa akapime umeme
 
Herpes zoster ( mkanda wa jeshi?) . Mtoa Mada mgonjwa wako anasumbuliwa na hilo tatizo. Ila ni vizur akimuona daktar wa ngozi.. au physician ( internal medicine )

Kwa nijuavyo mm hapo mgonjwa anatapa homa kali Sana na maumivu yasio elezeka.

Habari njema kwako ni kwamba herpes zoster inatibika.

Treatment
Acyclovir tabs
Acyclovir cream.

Professional siyo ethics ku andka dawa kama nlivyo fanya ila nmekufungua. Matumiz yake uta andikiwa na Dr kulingana na ukubwa wa tattoo unaweza meza ata 12 tabs/day
 
Dah hapo kwenye Tatto tuu ila aliupata ndugu yangu ukiwasha taa ana lia kabisa ila inaonyesha maumivu ni makali sana
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom