Picha: Hizi ni dalili za ugonjwa gani?

Waziri wa Kaskazini

JF-Expert Member
Dec 12, 2015
6,967
14,713
Hii picha nimeipata kwenye forums za Kenya sasa hawajui huu ni ugonjwa gani, Wengine wanasema ni Herpes zoster, wengine wanasema Nyairobi fulae sijui ndiyo ugonjwa gani....
67875919_2309397329277700_7018514639461810176_n.jpg
 
Sidhani kama kuna jibu utalipata humu, muhimu matatizo yahusuyo afya yanahitaji wataalamu wa afya so ni vyema akafanyiwa vipimo kujua chanzo na historia ya ugonjwa ili kupata tiba ama kinga stahiki!
 
magonjwa yanayoweza sababisha rash za namna hiyo mengi, aende wakampime tu
 
Back
Top Bottom