galindas JF-Expert Member Mar 3, 2013 978 1,304 Jun 10, 2013 #3 Sangarara said: ccm inachukiwa sana enh!! Click to expand... Pigia mstari mkuu.
Crashwise JF-Expert Member Oct 23, 2007 22,227 8,735 Jun 10, 2013 #4 Safi sana nasi huko jana tulivuna magamba ya kutosha wakiwemo mabalozi wa nyumba kumi kumi, hakika nauona mwanga 2015...
Safi sana nasi huko jana tulivuna magamba ya kutosha wakiwemo mabalozi wa nyumba kumi kumi, hakika nauona mwanga 2015...
Marumia JF-Expert Member Feb 11, 2012 644 213 Jun 11, 2013 #6 Crashwise said: Safi sana nasi huko jana tulivuna magamba ya kutosha wakiwemo mabalozi wa nyumba kumi kumi, hakika nauona mwanga 2015... Click to expand... M happy for you... Natamani uwasaidie walioko kwenye giza totoro kama mimi!
Crashwise said: Safi sana nasi huko jana tulivuna magamba ya kutosha wakiwemo mabalozi wa nyumba kumi kumi, hakika nauona mwanga 2015... Click to expand... M happy for you... Natamani uwasaidie walioko kwenye giza totoro kama mimi!
E ebaeban JF-Expert Member Jan 15, 2012 2,205 2,690 Jun 11, 2013 #7 Huko ndiko wanaposema Kinana (aka ) jangili alikosafisha wapinzani