Picha: Hivi ndivyo alivyolala Mandela, Waonyeshwa Paji la …

Ambiente Guru

JF-Expert Member
May 21, 2012
2,596
1,071


Maelfu wa waombolezaji wameruhusiwa kuona sehemu ya uso /paji la uso wake kama inavyoonekana kwenye picha.

R.I.P Madiba


Source: http://www.dailymail.co.uk/news/article-2522552/Nelson-Mandela-mourners-queue-Madibas-casket.html

Nelson Mandela mourners queue to see Madiba's casket | Mail Online


NM buriani.jpg
 
Ukimuona marehemu inasaidia nini?kama kuna ndugu ambaye ameshathibitisha amefariki inatosha
 
Mbona mkuu wewe hujaionyesha sura ya jemedal mandela kwenye hii picha?
 
Wengine wanachana hata nguo zilizositiri maiti. Ilitokea kwa Ayato** Irani, ni mambo ya imani zaidi na mapenzi hata umauti.
 
Anafaa kuwa mfano wa kuigwa lkn mafisadi wetu watasubiri wapewe sifa za uongo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom