Picha-Hivi hawa waandishi kuonjeshwa bia si ni aibu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Picha-Hivi hawa waandishi kuonjeshwa bia si ni aibu?

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by qq.com, Mar 21, 2012.

 1. qq.com

  qq.com JF-Expert Member

  #1
  Mar 21, 2012
  Joined: Jan 9, 2012
  Messages: 370
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  DSC050521.JPG

  hapa ni mwanza

  zaidi soma hapa kwa michuzi
   
 2. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #2
  Mar 21, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 0
  Ndo bahasha hizo ukisikia
   
 3. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #3
  Mar 21, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,507
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  Sidhani kama ni aibu. Its all part of the learning experience. Kwani wangetembelea shamba la mitamba wakaachiwa wakamue maziwa nayo ingekuwa bahasha?
   
 4. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #4
  Mar 21, 2012
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Habari zao basi wakitoka hapo?
   
 5. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #5
  Mar 24, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,872
  Likes Received: 6,222
  Trophy Points: 280
  aibu iko wapi hapo?
   
 6. Entrepreneur

  Entrepreneur JF-Expert Member

  #6
  Mar 24, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 1,092
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Mimi sioni cha aibu hapo, kwan waandishi wa habari nao ni watu kama watu wengine. Ingekuwa ni aibu kama wangekuwa wamelazimishwa waonje hata wale ambao bia kwao ni haramu. Lakini sura zote hapo kwenye picha, ni za kiu.
  Hala wewe umeona bia tu! Na hizo T-shirt?
   
Loading...