Picha, Historia, Maelezo na kadhalika. EID EL FITR spesho...

KadaMpinzani

JF-Expert Member
Jan 31, 2007
3,715
92
Dar es Salaam (Arabic: دار السلام [translation: "Abode of Peace"] Dār as-Salām, cf. "Yer u-salem"), formerly Mzizima, is the largest city in Tanzania. With a population estimated around 2,500,000, it is also the country's richest city and a regionally important economic centre. Though Dar es Salaam lost its official status as capital city to Dodoma in 1996, it remains the centre of the permanent central government bureaucracy and continues to serve as the capital for the surrounding Dar es Salaam Region.

The population is increasing at a rate of 4.39% annually (the 3rd fastest in Africa and the 9th fastest in the world). The metro population is expected to reach 5.12 million by 2020. (www.citymayors.com/statistics).

1925: 30,000
1948: 69,000
1957: 129,000
1972: 396,000
2005: 2,456,100 ( Mmeona watu wanavyozidi kuzingira tu Dar )

Click on the image for big size

[media]http://www.acm.edu/tanzania/dar045nw-lg.jpg[/media]
[media]http://www.mctnews.org/images/Neighborhood_Children_in_Dar_es_Salaam.JPG[/media]
cha ajabu watoto wote hapo wana simu za mkononi kazi kubipu tu ! nyumba ya nyuma pale wanauza aiskrimu !

[media]http://www.afedsportsfestival.com/daru16.jpg[/media]

EID MUBARAK !!

[media]http://images.beijing-2008.org/20070415/Img214036383.jpg[/media]Lowassa as a young boy !

[media]http://www.it46.se/images/reference/klnx_team_arusha_v1.png[/media]Kuna jamaa watano kwenye hii picha ni wanaJF, fogure them out ! KadaMpinzani nimo ndani !

[media]http://africa-hunt.com/image2/daressalaam.jpg[/media]Mzizima

[media]http://www.redeso.org/pictures/officedaressalaam.jpg[/media]Mbwa mkali geti kali !

[media]http://www.cuaha.info/web/images/stories/Theologians%20and%20the%20books%20190905.jpg[/media]
Kada'sAdvocate yupo hapo juu kwenye hiyo picha !

[media]http://www.cfcausa.org/howyoucanhelp/images/Emma_000.jpg[/media]Brazameni !

[media]http://www.comptonfoundation.org/fellow06_img/06_mlwanga.jpg[/media]
EID NJEMA !

[media]http://www.comptonfoundation.org/fellow06_img/06_mumia.jpg[/media]
EID NJEMA !

[media]http://www.tz.emb-japan.go.jp/image/kilwa_speach.JPG[/media]
JK AKIWA KILWA ! MNAONA NINI KWENYE HII PICHA ?? (Maelezo ya picha chini )
The Foundation Stone Laying Ceremony

for the Project for Widening of Kilwa Road



On March 14, 2007, the Foundation Stone Laying ceremony for the project for Widening of Kilwa Road, which has been assisted under the Japan's grant aid, was held in Dar es Salaam. H.E. Mr. Jakaya Mrisho Kikwete, the President of the United Republic of Tanzania, Honourable Andrew Chenge, Minister for Infrastructure Development, other dignitaries, H.E. Mr. Makoto Ito, Ambassador of Japan, and many people in surrounding area attended the ceremony.



President Kikwete in his speech commended Japan for the long time assistance to Tanzania in various sectors including road, energy, health, and education. President Kikwete appreciated the cooperation of Japan for widening of the road and said it would have a very big impact to the economy and social life of the people. After delivering his speech, the President, cut the tape to mark official beginning of the construction works.



The Project for widening of Kilwa Road is to widen 11.6 km of the road, which is one of the four main roads in Dar es Salaam from the city centre to the suburbs. The Government of Japan decided to provide 1.15 billion yen equivalent to approximately 12.85 billion Tanzanian Shillings for the phase one of the project. Due to the rapid expansion of the city and remarkable increase of the vehicles, the people in Dar es Salaam are facing serious traffic congestions. It is expected that through the implementation of this project, it would lead to easing congestion, ensuring the safety of vehicles and people, improvement of convenience of transport and development of the area.

[media]http://www.unatanzania.org/Sekela1.jpg[/media]EID NJEMA !

[media]http://midtownwednesdays.pbwiki.com/f/MasalakulangwaMwanzaSchool.JPG[/media]Hapo nipo masakulangwa mwanza !

[media]http://www.betterworldblog.com/content/binary/book%20distribution%20003.jpg[/media]Misaada hiyooooooooooooooo !

[media]http://www.houseofpeaceandlove.com/files/u2/Fokas.jpg[/media]Mwanakijiji upo hapo kaka ??

[media]http://www.houseofpeaceandlove.com/files/u2/ElvisHoldingACashew.jpg[/media]
Unaweza kufanya hivi weye ?

[media]http://www.martinfrost.ws/htmlfiles/feb2007/anglicans_01.jpg[/media]
Mnakumbuka hawa kipindi kile walipotaka kuleta mambo yao ya nanihii dodoma, then wakaja dar !

[media]http://www.churchtimes.co.uk/uploads/images/Rowan_p2%231%23.jpg[/media]
[media]http://www.usaid.gov/stories/images/tanzania_lessons_h.jpg[/media]
Safi sana vijana !

[media]http://homepage1.nifty.com/sinyamag/graphics/halima.JPG[/media]
EID NJEMA !

[media]http://cbdd.wsu.edu/kewlcontent/courses/TR505r/images/Marcellina.jpg[/media]
Mnamjua huyu mama ? UDSM
Dr. Marcellina Chijoriga
Lead Instructor
University of Dar es Salaam
<cellina@fcm.udsm.ac.tz>
+255 2410257

[media]http://www.africanhiphop.com/crew/photos/tanzania/watulivu1.jpg[/media]Ukitaka kujua hali ya kisiasa kati ya bara na visiwani sio shwari angalia mambo hayo yalivyoleta mvutano kati ya hizo sehemu mbili, sasa kuna zenji flavor ndio mziki wa visiwani huo ! chekshia jamaa hao !
 
Kada,

Picha ya brazameni imenifurahisha sana, ahsante sana kwa kuiweka hapo!

SteveD.
 
kwenye picha ya huyo tozi Jk kuna nin?maana umeuliza twaona nini..me sioni kingine zaidi ya bichwa lililojaa mahesabu ya namna gani ya kuwamaliza wa Tz indirectly n pole pole...akisaidiana na masela wake ambao baadhi sie twawaita mawaziri,wanamtandao n.k
 
watu wameboreka ( jibu katika ile picha ) na yeye mwenyewe inaelekea alichoshwa !
 
Kada

Natarajia kukufikisha mahakamani ndani ya siku 3 kwa kuweka sura yangu hadharani na kufichua ID yangu kinyume na kifungu JF/ID/MAZABE/405.7 kinacho kataza mwanachama wa JF kuanika ID ya mwanachama mwenzie hadharani.

Ukitaka yaishe nitumie Lita 20 za pombe aina ya Dengerua, Gongo au Mnazi ndani ya siku 7 kwani kiu inaua.
 
Mkuu Kada, huyo mzee mwenye miwani na sahti la bluu, yuko wapi siku hizi mshikaji wangu huyo, ila sijamsikia Long time sasa?

Mara ya mwisho alikuwa Columbia University, unajua mzee kitabu kinapanda sana, yupo wapi mkuu?
 
nimemaind picha yamama Mkapa namisaada..wat ilike the most abt this lady na EOTF yake..atleast misaada yawafikia walengwa..sio kama wengine tuwajuao huko juu madarakani..na ndio maana hata walianza mezea mate mradi wake wakati ulee wakikaribia ku step down eti uwe mradi wa ikulu na kila 1st lady atakayekuja..sio kila lady mwenye uwezo na moyo na wasaidizi wema kama mama huyu..
 
Kada

Natarajia kukufikisha mahakamani ndani ya siku 3 kwa kuweka sura yangu hadharani na kufichua ID yangu kinyume na kifungu JF/ID/MAZABE/405.7 kinacho kataza mwanachama wa JF kuanika ID ya mwanachama mwenzie hadharani.

Ukitaka yaishe nitumie Lita 20 za pombe aina ya Dengerua, Gongo au Mnazi ndani ya siku 7 kwani kiu inaua.

heheeee, mkuu mie nadhani tu unipeleke huko mahakamani maana hiyo pombe sijawahi kuisikia, sasa kiu + pombe = kifo kabisa, kwa hiyo either way nitakuwa nimekuua literali !

duh ! hiyo kali ya wkend mkuu ! lol
 
Mkuu Kada, huyo mzee mwenye miwani na sahti la bluu, yuko wapi siku hizi mshikaji wangu huyo, ila sijamsikia Long time sasa?

Mara ya mwisho alikuwa Columbia University, unajua mzee kitabu kinapanda sana, yupo wapi mkuu?

sina info zake,( sina uhakika kama alikuwa columbi univesti) lakini nitaangalia vizuri nikujulishe !
 
Kadampinzani,

Mbona unatoa picha yangu bila hata kuniomba ruhusa?

Nitakupeleka mahakamani wewe!!!
 
WAISLAM WA LONDON WALIPO KUTANA PALE MANOR PARK KWA AJILI YA SWALA YA IDDI JANA.
NDUGU YETU SAIDI YAKUBU ALIKWEPO NAYE HAPO KWENYE BARAZA LA IDDI MANOR PARK, EAST LONDON, (SEHEMU YA LONDON YENYE WATANZANIA WENGI ZAIDI).

MAELEZO YANATOKA KWENYE BLOG YAKE: http://www.saidiyakubu.blogspot.com/


LAKINI ZAIDI YA HAYO NINGEPENDA KUCHUA NAFASI HII KUWAFAHAMISHA KUWA BALOZI WETU BI MWANAIDI MAJAAR HAJATOA SALAM ZOZOTE KWA WATANZANIA WAISLAM WALIOPO UK KWA SABABU BALOZI TUMEAMBI ALIKUWA "BIZEE" TOFAUTI NA BALOZI KIBELLO ALIYEONDOKA AMBAYE PAMOJA NA MAPUNGUFU YOTE HUWA ALIKUWA NATOA SLAMA NA KUJUMUIKA NASI PALE MANOR PARK.ONCE AGAIN BALOZI KAONYESHA JINSI GANI ALIVYOKUWA NA NIA YA KUJUMUIKA NA WATANZANIA KWA UJUMLA




VILE VILE KATIKA HALI YA KUSHANGAZA NI KUWA MWENYEKITI WA TANZANIA ASSOCIATION UK BWANA ABOUBAKAR FARAJI ALIGOMA KUTOA MCHANGO WA KUFANYA BARAZA LA IDDI KWA SABABU WAISLAM WA NORTH LONDON WALIKATAAA MASHARTI YAKE YA KUTAKA KUWEKA MATANGAZO YAKE WESTERN UNION!

SWALI NI JE TANGU LINI BARAZA LA IDDI LIKAWA SPONSORED NA MATANGAZO?





PICHA:

1. Imam wa Ibada ya leo Ustadh Hamisi alifananisha mwezi wa Ramadhani uliomalizika kama ni chuo kikuu cha Ibada na kuelezea umuhimu wa kuendeleza uzoefu wa Ibada uliopatikana nje ya mwezi wa Ramadhani, nilipozungumza nae baadae alinielezea namna walivyo na afueni kwa kuruhusiwa kutekeleza uhuru wao wa kuabudu hapa Uingereza ukilinganisha na nchi nyingine za Ulaya.

2.Watu walikuwa ni wengi kwa hakika na mchango wa papo hapo kulipia ukumbi wa sala ya Iddi ulichangisha kiasi cha &#163;425.00 na hakika eneo lote la chini lilijaa na wengine kulazimika kusali katika ghorofa ya juu na wengine nje. Matokeo kama haya yanakufanya udhani kisahihi kabisa kuwa wabongo tupo wengi...

3.Mwenye bakora ni Al Maarufu GARAMTENI...UKITAKA HALUA WE ULIZA TU..

4.Bingwa wa zamani wa kusoma Quran Ustadh Masudi alikuwepo na hapo akiwa mitamboni..

5.Ustadh Nassor wa EAST AFRICAN FOUNDATION nae pia alikuwepo na hapa alikuwa akizungumzia umuhimu wa kutoa zakatil fitr- ambayo alieleza ni lazima kutolewa na muislamu yeyote mwenye uwezo wa kula idd kwa wasio na uwezo huo ili nao wajisikie...

BLOG HII INAWATAKIWA WADAU WOTE IDD MUBARAK AGAIN...


IMG_1845.JPG


IMG_1844.JPG


IMG_1853.JPG


4&


42%5B1%5D.JPG


eid+el+fitr+244.JPG


eid+el+fitr+247.JPG


eid+el+fitr+248.JPG


eid+el+fitr+251.JPG
 
[media]http://www.africanhiphop.com/crew/photos/tanzania/watulivu1.jpg[/media]Ukitaka kujua hali ya kisiasa kati ya bara na visiwani sio shwari angalia mambo hayo yalivyoleta mvutano kati ya hizo sehemu mbili, sasa kuna zenji flavor ndio mziki wa visiwani huo ! chekshia jamaa hao !
Lugha yenyewe ipo tofauti kati ya bara na visiwani... kwa hiyo hilo la zenj flavor, lisikufanye ushindwe kufakamia biriani ya Idd
 
nimemaind picha yamama Mkapa namisaada..wat ilike the most abt this lady na EOTF yake..atleast misaada yawafikia walengwa..sio kama wengine tuwajuao huko juu madarakani..na ndio maana hata walianza mezea mate mradi wake wakati ulee wakikaribia ku step down eti uwe mradi wa ikulu na kila 1st lady atakayekuja..sio kila lady mwenye uwezo na moyo na wasaidizi wema kama mama huyu..

Misaada ya mama Mkapa inafikia walengwa wapi? Kilimanjaro na Dar?

Kaomba misaada kwa kutumia jina la nchi nzima lakini zaidi ya asilimia 90 ya wilaya hata hazijui huyu mama kapewa nini na kapeleka wapi.

Huyu mama kapokea misaada mingi na mikubwa mno, waliofaidika nayo ni watu wake wa karibu tu.
 
Back
Top Bottom