Bongo Pix Blog
JF-Expert Member
- Sep 13, 2011
- 213
- 33
"A picture is worth thousands words"
Ipe maana halisi picha, bashiri wapi na lini picha ilipigwa, watakaobashiri kwa usahihi atatafutwa mshindi na kuzawadiwa, yuko mfadhili kajitolea zawadi japo hajatamka ni zawadi gani mshindi atapata.
1. Maana halisi ya picha (hii ni zaidi ya caption)
2. Wapi ilipigwa,
3. Lini.
Tuma majibu yako HAPA.