PICHA hii tafakari - Hivi huyu OMBAOMBA kazalishwa na nani?

hakuna ombaomba hapo,kwa nini wavue viatu na kuvificha kwa nyuma?
huyu anatafuta wanaume na atawapata.
mi namshauri akakae karibu na ofisi ndogo za ccm pale lumumba hapo labda atawapata walimzalisha
.
Mkuu atafute wanaume wengine tena?lol
 
huyu mama mwenye watoto nazani category yake si ombaomba,naweza sema ni mpenda wanaume,maana hao watoto wote asingewapata kama bila ku-engage na wanaume tofauti tofauti,sasa mambo yamwemwia magumu ndo kaamua kuishi hapo
TABIA YAKE INATAKIWA KUCHUNGUZWA KWANZA
 
Huyu mama ni mwongo na mzandiki. Hebu angalia watoto wamevaa vizuri, wako safi na healthy, hiyo sehemu ya kuwaoshea na kufua nguo zao anaipata wapi?

Aliwahi kuhojiwa nadhani na Clouds wakati ule wa Fina Mango kama sikosei, aliwahi kurejeshwa kijijini kwao Kigoma na akarudi mjini eti amejenga nyumba lakini haijesha na imebaki kidogo kumalizia.

Au huyu ana kazi maalumu anajifanya kichaa? maana havieleweki kabisa.
 
"asili ya mtu duni huona vitendo vyake"- Juma Bhalo.

Kuna mtu au niseme watu, kuombaomba imewakaa kwenye damu, kuna mtu nnafahamu fika, kila akiona mtu lazima amuombe, na ilhali anahali nzuri tu, ana nyumba, ana gari, ana mume, ana shamba, ana watoto wanasoma shule za "akademi". Kuomba ipo ndani ya damu yake.

Ni tabia mbaya tu iliyojijenga ndani ya ubongo, watu namna hiyo huwa ni mabahili wa kupita kiasi, hata awe na milioni kumi ndani, hataki kuzitumia ana hiyari aombe.

Kuna mama mmoja anakuwepo sana mitaa ya Saigon, kuna siku nilikuwa kwa "Hassan Juice" pale Sikukuu na Narung'ombe, si huyo mama kanijia, na kunililia, "mwanangu sijala, njaa inaniuma", si nikatoa 500 kumpa, akaniambia "khee, wewe umetoka kula kuku, hao kuku umenunua mia tano? nipe pesa na mie nikale kuku" nikamwambia haya nipe hiyo nikubadilishie, aliponipa nikaitia kwenye handbag, nikamwambia sasa ondoka hakuna hata hiyo mia tano.
 
huyu mama akapimwe akili nadhani hayuko sawa kichwani.kwani yeye ni mlopokaji mzuri sana kwenye vyombo vya habari alikuwa anhojiwa na hoyce teme mwishoni mwa mwaka jana eti analopoka yuko proud kabisa kuzaa ovyo na anasema awezi funga kizazi kila mtoto ana anazaliwa na bahat yake
 
Huyo mama ni msanii tu alishawahi kufanyiwa interview na Joyce Kilia akaulizwa ka yupo tayari kufanya biashara ya kuuza ndizi apewe mtaji, akajibu hawezi kuifanya hy kazi, Sa ombaomba gani anachagua kazi. Af ka ana profesnl ya Ualimu sidhani ka anaweza kukosa kazi ya kufundisha..Mi nadhani atakuwa ni mtu wa "TISS" tu huyo
 
01_12_uub790.jpg


saada king’ombe akiwa na watoto wake chini ya mti karibu na viwanja vya gymkhana, upanga jijini dar es salaam. Nimeiangalia hii picha na kutafakari sana hivi huyu omba omba amezalishwa na kina nani na je nani anawahudumia hawa watoto kweli mungu mkubwa tumshukuru kwa kila jambo.

Jibu: ombaomba huyu kazalishwa na serikali yetu! Mwembe hauwezi kuzaa nanasi! Serikali ombaomba inazaa ombaomba! - by marejesho

kumjua vizuri huyu mama muhulizeni hoyce temu na dina marios waliwahi kumhoji k wenye vipindi vyao mwaka jana.anajisifia kuzaaa na wanaume tofauti
 
huyu mama ana matatizo.hivi kufukuzwa kazi hakuna ngazi za kisheria za kufuata apate haki zake? Mbona na chama cha walimu kipo ? mi na wasiwasi kama ni mwalim kweli au kazi kutesa watoto tu.Kuna kiipindi miaka ya 2006 nilikuwa namwona pembeni ya kituo cha BP ilipo Serena Dar es salaam lkn alikuwa na watoto kama watatu sasa naona kaongeza.Hivi na usomi wake (anavyodai) ameshindwa kutafta msaada kweli.Na hao watu watu wa Jamii wanafanya kazi gani ? au wanangoja mkuu wa zamani wa Police ampe mimba haus gel ndo wajifanye wanajua haki za watoto wakati katikamazingira ya huyu mama walitakiwa wawe wamechukua hatua siku nyingi kwani huyu mama ana muda mrefu anaonekana city center mitaa ya usiku mkubwa na hao watoto wake
 
hakuna ombaomba hapo,kwa nini wavue viatu na kuvificha kwa nyuma?
huyu anatafuta wanaume na atawapata.
mi namshauri akakae karibu na ofisi ndogo za ccm pale lumumba hapo labda atawapata walimzalisha.

Mkubwa!

Yani angeenda kwenye office tajwa ingempendeza sana!
 
Mimi nimeshawahi kuzungumza na huyu mama kwa kweli ukimsikiliza utashangaa, hao watoto kazaa na watu wakubwa, na kuna wengine kwa mujibu wa malelezo yake watoto wengine hapo baba zao sio watanzania, ila ukitaka kuzungumza nae wewe nenda pale beach utamkuta wala hana noma anapiga sana stori na watu wala hakufichi ukweli wa mambo yake.
 
Huyu ni afisa usalama wa taifa......yaani muajiriwa wa TISS......Yupo kazini......ana zugazuga kuombaomba
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom