Tuko
JF-Expert Member
- Jul 29, 2010
- 11,178
- 7,319
Tangu Mwigulu arudi kutoka "China" amekuwa akivaa kofia yenye nembo ya nyota, ambayo anapoivaa nembo hiyo huwekwa kwenye paji la uso
Lakini kama tujuavyo, Mwigulu hana cheo chochote jeshini au mahali pengine kinachotambulishwa kwa kuvaa nembo ya namna hiyo. Hiyo nembo (na hata rangi yake), sio alama za chama chake.
Inasemwa kuwa nyota ni mojawapo wa alama za Illuminati (Freemansons), ambazo members wake hulazimika kuzivaa mwilini. Unaweza kujifunza zaidi juu ya alama za illuminati katika sites mbalimbali kwenye internet na kwingineko.
Mwigulu ameonekana akivaa nembo hiyo mara kadhaa anapojitokeza na kuhutubia mbele za watu!!!
Mwigulu atueleze, je nembo hii ina maana gani? Au ndio anatafuta wafuasi?