Picha: Hii nembo kwenye paji la uso la Mwigulu ina maana gani?

Tangu Mwigulu arudi kutoka
"China" amekuwa akivaa kofia yenye nembo ya nyota, ambayo anapoivaa
nembo hiyo huwekwa kwenye paji la uso
View attachment 96867

IPOdfGYd9_QDrUrAFIIeRtVTyZpwhrNpyEXTn4MfSTU

Lakini
kama tujuavyo, Mwigulu hana cheo chochote jeshini au mahali pengine
kinachotambulishwa kwa kuvaa nembo ya namna hiyo. Hiyo nembo (na hata
rangi yake), sio alama za chama chake.

Inasemwa kuwa nyota ni mojawapo wa alama za Illuminati (Freemansons),
ambazo members wake hulazimika kuzivaa mwilini. Unaweza kujifunza zaidi
juu ya alama za illuminati katika sites mbalimbali kwenye internet na
kwingineko.

View attachment 96869

GFXqiM1EsHYKLwJbyH0NWGUKauHsHw4vctos-deIXhw

Mwigulu
ameonekana akivaa nembo hiyo mara kadhaa anapojitokeza na kuhutubia
mbele za watu!!!

Mwigulu atueleze, je nembo hii ina maana gani? Au ndio anatafuta
wafuasi?

Muheshimiwa sikuhizi ni freemason? Ayaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa Ndo maana nyota na mavituzzz inangara sana.
 
Mwigulu kwa kweli style hiyo imekupendeza saaaana... Dresser wako yupo juu! ila (But) ACHA Ushamba wa kutembea na wake za watu!
 
Tangu Mwigulu arudi kutoka "China" amekuwa akivaa kofia yenye nembo ya nyota, ambayo anapoivaa nembo hiyo huwekwa kwenye paji la uso
View attachment 96867

IPOdfGYd9_QDrUrAFIIeRtVTyZpwhrNpyEXTn4MfSTU

Lakini kama tujuavyo, Mwigulu hana cheo chochote jeshini au mahali pengine kinachotambulishwa kwa kuvaa nembo ya namna hiyo. Hiyo nembo (na hata rangi yake), sio alama za chama chake.

Inasemwa kuwa nyota ni mojawapo wa alama za Illuminati (Freemansons), ambazo members wake hulazimika kuzivaa mwilini. Unaweza kujifunza zaidi juu ya alama za illuminati katika sites mbalimbali kwenye internet na kwingineko.

View attachment 96869

GFXqiM1EsHYKLwJbyH0NWGUKauHsHw4vctos-deIXhw

Mwigulu ameonekana akivaa nembo hiyo mara kadhaa anapojitokeza na kuhutubia mbele za watu!!!

Mwigulu atueleze, je nembo hii ina maana gani? Au ndio anatafuta wafuasi?

Ukichaa unamuingia. Laana za damu za watu si mchezo wandugu! Hata hivyo hiyo alama maana yake inaashiria damu za watu kuendelea kumwagika.

Si tumeona Arusha, Igunga na Singida na Arumeru? Na sasa kule Mbeya makambi yameanzishwa.

Tatizo ni kwamba, wakisha lewa madaraka wanasahau kwamba yana mwisho. Na kama uliyatumia vibaya ndio hapo utajiju..........!!!!!!!!!!!!
 
Tangu Mwigulu arudi kutoka "China" amekuwa akivaa kofia yenye nembo ya nyota, ambayo anapoivaa nembo hiyo huwekwa kwenye paji la uso
View attachment 96867

IPOdfGYd9_QDrUrAFIIeRtVTyZpwhrNpyEXTn4MfSTU

Lakini kama tujuavyo, Mwigulu hana cheo chochote jeshini au mahali pengine kinachotambulishwa kwa kuvaa nembo ya namna hiyo. Hiyo nembo (na hata rangi yake), sio alama za chama chake.

Inasemwa kuwa nyota ni mojawapo wa alama za Illuminati (Freemansons), ambazo members wake hulazimika kuzivaa mwilini. Unaweza kujifunza zaidi juu ya alama za illuminati katika sites mbalimbali kwenye internet na kwingineko.

View attachment 96869

GFXqiM1EsHYKLwJbyH0NWGUKauHsHw4vctos-deIXhw

Mwigulu ameonekana akivaa nembo hiyo mara kadhaa anapojitokeza na kuhutubia mbele za watu!!!

Mwigulu atueleze, je nembo hii ina maana gani? Au ndio anatafuta wafuasi?
Mwigulu nae ni limbukeni tu. Ina maana amegundua hiyo nyota leo, alikuwa wapi sikuzote, huyu ni chizi tu.
 
Mwigulu nae ni limbukeni tu. Ina maana amegundua hiyo nyota leo, alikuwa wapi sikuzote, huyu ni chizi tu.
Sikumbuki kama kuna kiongozi mwingine yeyote wa CCM aliwahi kuadopt nembo ya chama kingine hadharani. Tusidanganyane bana, hiyo nembo ina kitu zaidi ya ukomunisti...
 
Sikumbuki kama kuna kiongozi mwingine yeyote wa CCM aliwahi kuadopt nembo ya chama kingine hadharani. Tusidanganyane bana, hiyo nembo ina kitu zaidi ya ukomunisti...

kwanza sera za serikali ya mwanzo ya ccm ni kutofungamana na upande wowote kwa hiyo hakuna kiongozi wa ccm mwenye werevu wa kawaida ambae angekubali kuivaa hiyo alama hadharani, ndio maana nasema mwigulu ni chizi.
 
Sikumbuki kama kuna kiongozi mwingine yeyote wa CCM aliwahi kuadopt nembo ya chama kingine hadharani. Tusidanganyane bana, hiyo nembo ina kitu zaidi ya ukomunisti...

Mwigulu freemason, subiri tukusanye vielelezo na kuvianika!..
 
Kwahi chama cha kikomunisti kinahusika vipi kwenye kampeni za uchaguzi kwetu?
Au ndiyo jembe na nyundo zimebinafsishwa kwa wachina?

Kuna Mhusika aliyeuliza kofia ya NCHEMBA ni kwanini ina RED STAR na ina represent nini... sasa ilikuwa Majibu yake -- nadhani umeshika Mwisho wa HABARI...

SORRY!!!
 
watatapatapa sana hawa ccm,sisi chadema tunagawa tu doz tunapiga kichwa tu hadi wafe haaaaaaaaah haaaaaaaah
 
Mwigulu anahuiana vipi na wachina? Mbona hata skafu hajawahi kuiacha?
Ni HESHIMA KUBWA SANA KWA MUNGU KUMZOMEA MWIGULU

Uhusiano wake na wachina si mengi ni kuwatangaza wakati akisubiri msaada oktoba 2015, Na hiyo skaf labda tumuulize maana kuna baadhi ya makabila mtu akikabidhiwa ndumba fulani hivi inaambatana na masharti yake fulani hasa ya kutembea na baadhi ya vitu kila anapochangamana na hadhira kubwa.
 
Ambacho Mwigulu anahusikaje nacho?

Labda chama cha kikomunisti cha China ni chama rafiki na CCM ambacho Nchemba ni naibu katibu mkuu bara! Tehetehetetehe, ni wazo tu hilo! Ya Mwigulu mengi, huwezi ukayamaliza! Kwani ile skafu ya njano/kijani ina maana gani hasahasa kuvaliwa shingoni na mtu aliyefikia level ya ubunge tena graduate wa chuo kikubwa nchini kwenye mchepuo wa uchumi. Kama siyo uhawani ni nini?
 
China Ndio kafadhili gwanda zake kisha wakatupia Nembo Yao ili awe anawaabudu
 
Uhusiano wake na wachina si mengi ni kuwatangaza wakati akisubiri msaada oktoba 2015, Na hiyo skaf labda tumuulize maana kuna baadhi ya makabila mtu akikabidhiwa ndumba fulani hivi inaambatana na masharti yake fulani hasa ya kutembea na baadhi ya vitu kila anapochangamana na hadhira kubwa.
Hivi kama viongozi wa chama tawala wanaendekeza uchina hadi wakaamau kuvua nembo za chama chao, nembo za taifa na kuvaa nembo za wachina hadharani, tuuchukulieje uzalendo wao?!!! Tutegemee usawa kwenye maamuzi ya mambo ya kimataifa?!!!
 
Back
Top Bottom