Picha: Hii nembo kwenye paji la uso la Mwigulu ina maana gani?

Nyota ina maana gani kwenye ukomunist? Mi nadhani Mwigulu anajua maana hiyo. Kwa nini asivae kofia yenye jembe na nyundo?

Nyota ina maanisha mshikamano wa watu chini ya Chama cha Kikomunisti
 
the boy is just confused.... Hiyo sign hapo ni moja tu ya dalili nyingi... Kuhus Freemason, sahau freemeson kuchukua mtu kama huyo, they have class!!

listen to his talks/speeches, watch his antics etc.

People like Mwigulu dont last, because they are a misfit in any system
 
Nikimwangalia mwigulu namwona kama hayupo sawa!!??sijui ni ulimbukeni au nini?this is too much now,and people are wasting their precious time to discuss him?i am glad he is from iramba.angetokea morogoro ningeuhama huu mkoa,what an eccentric politician he is!!
 
Kwa bendera ya CCM jembe na nyundo ni ishara ya wakulima na wafanyakazi. Je, kwa wakomunist wa China, nyota ni ishara ya nini?

Red STAR is SYMBOL of COMMUNISM; example



120px-Orden-Pobeda-Marshal_Vasilevsky_09.jpg




 
Wasiwasi wangu kusiwe na hirizi.
Nakumbuka she Yahaya alikua anawapa mbinu mbalimbali za kuzificha hirizi, wafuasi wake.
 
Kwa CCM alama ya jembe na nyundo ni kuwakilisha wakulima na wafanyakazi. Kwa CDM alama ya vidole viwili ni ni ishara ya V yaani ushindi. Je, kwa wakomunist wa China, alama ya nyota inawakilisha nini?

v ni matusi
 
Mie najivunia kitu kimoja katika maisha yangu ambacho ni " Sijawahi kumeelewa Lameck ( Mwigulu ) huwa namuelewa saaaanaa Mbatia wa NCCR
 
Tangu Mwigulu arudi kutoka "China" amekuwa akivaa kofia yenye nembo ya nyota, ambayo anapoivaa nembo hiyo huwekwa kwenye paji la uso
View attachment 96867

IPOdfGYd9_QDrUrAFIIeRtVTyZpwhrNpyEXTn4MfSTU


Lakini kama tujuavyo, Mwigulu hana cheo chochote jeshini au mahali pengine kinachotambulishwa kwa kuvaa nembo ya namna hiyo. Hiyo nembo (na hata rangi yake), sio alama za chama chake.

Inasemwa kuwa nyota ni mojawapo wa alama za Illuminati (Freemansons), ambazo members wake hulazimika kuzivaa mwilini. Unaweza kujifunza zaidi juu ya alama za illuminati katika sites mbalimbali kwenye internet na kwingineko.

View attachment 96869

GFXqiM1EsHYKLwJbyH0NWGUKauHsHw4vctos-deIXhw

Mwigulu ameonekana akivaa nembo hiyo mara kadhaa anapojitokeza na kuhutubia mbele za watu!!!

Mwigulu atueleze, je nembo hii ina maana gani? Au ndio anatafuta wafuasi?


Mkuu Tuko mbona pia amefuga ndevu? Hilo hujaliona? Nadhani ameamua kuwa mwanamapinduzi baada ya kutembelea China
 
Last edited by a moderator:
Red STAR is SYMBOL of COMMUNISM; example



120px-Orden-Pobeda-Marshal_Vasilevsky_09.jpg





Kwahi chama cha kikomunisti kinahusika vipi kwenye kampeni za uchaguzi kwetu?
Au ndiyo jembe na nyundo zimebinafsishwa kwa wachina?
 
Kwa CCM alama ya jembe na nyundo ni kuwakilisha wakulima na wafanyakazi. Kwa CDM alama ya vidole viwili ni ni ishara ya V yaani ushindi. Je, kwa wakomunist wa China, alama ya nyota inawakilisha nini?

kweli mwigilu anawanyima usingizi CDM
 
wabongo bana , Mwingulu kakuta tu hiyo kofia mtumbani , kaipenda coz ina rangi ya kijani Tayari wabongo mshasema ya kwenu. Na uliweka hata hiyo ost na uwakika hajui anchokiandika , ni mshabiki tu wa mambo, bora nae waweke post JF.
 
Jamini huyo First Class ni limbukeni sanaaaaaa, sasa kaongeza vitu, baada ya kevaa staff ya tanzania, kaja na kituko kipya
 
Back
Top Bottom