Picha hii ndio iliyonitoa machozi kwenye msiba wa Magufuli

Mimi mama Janet kipindi mwili unaingia uwanjani. Mama amenitoa chozi picha hata ukiangalia Kwa mbali mama hakuwa na nguvu hata kidogo na huku kumzungusha kutamchosha Sana. Huyu mama kaumia Sana. Nimekumbuka mke WA Mengi Jack alivyokuwa macho makavu kweli binadamu tunatofautiana.
 
Kilichokuliza hapo ni nini mbona Huyo dogo anaonekana anajifunza kutokana kwa wanajeshi jinsi ya kupiga salute.
 
Bado tunapukutika, ila tunapigana vikumbo kuifuata chanjo maana bado ni chache na tupo wengi, hata hivyo mibarakoa kote kote hamna kujichokea au kulegea.
Nimewashangaa sana kwa kweli, yaani mpaka sasa mnakusanyika na kubanana na hamna cha barakoa wala nini, nyie wakali
njoo Tanzania mzee
 
njoo Tanzania mzee

Kha! Kuja huko lazima kwanza niwahi hii chanjo, naisubiri sana kwa hamu....nina uhakika kuna wenye hela zao kutokea Tanzania washazamia huku na kuchanjwa kimya kimya maana na sisi kwa ufisadi ndio zetu, Mtanzania akija na kushusha limilioni lake mezani anachanjwa tu fasta.
Sema msiokua na hela muendelee kuimba nyimbo za uzalendo dhidi ya corona....
 
sawa mzee hali ikitulia ntakuja kutembea Kenya
 
Tunaliaga wewe,mhu,usiombe kufiwa na kipenzi,tusipolia hadharani huenda kulilia mafichoni.
Toeni machungu msiyalimbikize. Cha kushangaza mkiumizwa na mapenzi mnalia hadi makamasi yanawatoka.
Ila ukifiwa unakomaa kidume, nonsense kabisa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom