Picha: Hii ndio hali halisi ya barabara kutoka Tabora - Nzega kwa sasa

Spanishboy

Senior Member
Apr 24, 2011
118
65
1509810_10152028487087789_17220250_n.jpg

Picha kwa hisani ya Igunda
 
Halafu mnamuita Lema mnafiki. hivi si ndo huku mashabiki wa yanga hupita bila kupingwa?
 
wabunge wote wa Tabora ni wa ccm unategemea lami. Lami ni Hai mpaka Machame. Moshi mpaka Rombo. Iringa Mjini Mby mjini n.k Tabora mnaongozwa na mh Kaapua. Rage etc
 
Mbunge wa Nzega anaota ndoto za mchana anataka urais wakati wananzega hawamtaki
 
Kama sikosei barabara hii iko kwenye ujenzi tunavyongea sasa hivi. Na bila shaka itakuwa tayari kabla ya uchaguzi ujao wa 2015 ili kupata kura na majimbo zaidi huko kanda ya magharibi.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom