Mkuu, naomba ututake radhi watanzania. Kilichofanyika ni kwamba watanzania tulipiga kura, lakini Nec na Usalama wa taifa wakateua rais. Hivyo kiongozi tuliye naye si wa kuchaguliwa bali wa kuteuliwa.Watanzania mnapiga kura kama vipofu, halafu mnalalama kama vichaa!! Tulieni mnyooshwe vizuri hadi hapo mtakapopata akili 2015!
Ni kweli baada ya miaka hamsini ya uhuru hatimaye serikali yaweza kumtokomeza adui maradhi, big up sana sirikali ya Tanzania. Shukrani Mo na chama chako kwa kuitangazia dunia mafanikio hayo. Natamani Mwalim JK afufuke aone kwa macho yake jinsi ile ndoto yake ya kupambana na wale maadui watatu inavyoanza kutimia.Sasa tanganyika hatuna budi kujvunia mafanikio tuliyo yapata kwa upande wa AFYA kama tumeweza kutokomeza maradhi kiasi cha wodi zote kubaki tupu!!!!pongezi sana kwa sirikali yetu japo mnatukejeri mnasema ni DHAIFU.Sasa mmejionea wenyewe,na baada ya mafanikio aya kwa upande wa AFYA sasa nguvu zetu zote tunazielekeza kwenye ILIMU. KIGUMU CHAMA TAWALA Kudadadadeeeeeeeeeeeeeki
Ina maana wamegoma tena au hawajarudi kazini, tulipigwa changa la macho tu!
watanzania mnapiga kura kama vipofu, halafu mnalalama kama vichaa!! Tulieni mnyooshwe vizuri hadi hapo mtakapopata akili 2015!
Ina maana wamegoma tena au hawajarudi kazini, tulipigwa changa la macho tu!
Wagonjwa karibuni wote walipona ,na wagonjwa wapya hawakuwepo kwani mgomo huu umesaidia watu wengi sana kuwa immune au tuseme miili ya Watz imeweza kuzuia maradhi yasiwaingie ,miili ilijirekebisha kwa kutoa hormones maalum za kuzuia kupata maradhi ,baada ya ubongo kuwasha stimuli zinazouelekeza mwili kuwa hakuna madaktari hospitalini,yaani nguvu ya mwili ya kujikinga ilifanya kazi zaidi ya asilimia mia moja.
Well said!Watanzania mnapiga kura kama vipofu, halafu mnalalama kama vichaa!! Tulieni mnyooshwe vizuri hadi hapo mtakapopata akili 2015!
ndugu huyu le mtuz ni ana matatizo kwenye ubongo , yaani asamehewe tuKwa hayo maneno ya Malecela, naanza kuhisi kuna mkono wa vyama vya siasa katika huu mgomo.
kuna radio 1 leo wamesema MNH ma dr warudi kazini, wanamdanganya nani ss? Ifike mahali propaganda ziachwe.
Hivi kumbe Hormones zinaweza kuzuia mtu kupata maradhi???