Picha : Hii imekaaje ? Dr Shein kutumia tovuti ya Ikulu kwa matangazo ya kampeni ya uraisi

RobyMi

JF-Expert Member
Mar 4, 2012
848
862
Naomba kujuuzwa wanaJF , nimekutana na picha kwenye tovuti ya Ikulu ya Zanzibar , zinazoonyesha na kutangaza harakati za Dr Shein wakati wa mchakato wa uchukuaji form ya ugombea urais ,

Je hili limekaaje , inaruhusiwa kutumia tovuti ya serikali kwa matangazo ya kampeni ?

Hapa kuona photo gallery ya tovuti ya ikulu ya zanzibar

Ikulu higlhlights news and events page


News highlights page

Hizi ni baadhi ya screen shots pamoja na picha kutoka kwenye tovuti ya ikulu ya zanzibar
View attachment 296534 Photo_Gallery_Ziara_mbali_mbali_za_Mhe_Rais_wa_Zanzibar_na_MBLM_Dk_Ali_Mohamed_Shein_No3_—_Presi.jpg Mkinichagua_nitaelekeza_nguvu_kuimarisha_sekta_binapsi._—_President_s_Office_State_House_and_Goo.jpg Mkinichagua_nitaelekeza_nguvu_kuimarisha_sekta_binapsi._—_President_s_Office_State_House_and_Goo.jpg

Ufunguzi_wa_Kampeni_Pemba_2.jpg


DSC_4784.jpg
 
Hawajui hata majukumu yao, au Rais hana kingine anachofanya zaidi ya Siasa za chama chake. Kwahiyo hakuna picha
 
Kwa Nchi ya kidemokrasia hilo nikosa kubwa ila nina doubt vilevile kama Zanzibar kuna democrasia
Waaga sioni hilo kama kunademokrasia
 
Kama hakuna ilipokatazwa basi ni ruksa.

Hizi ni kampeni za chama , kufungua blog ni bure kabisa kupitia google , tovuti ya ikulu ni kwa ajili ya updates zainahusiana na ofisi ya raisi kwa wananchi na dunia nzima , kwa iyo ilo analofanya Dr Shein ni kosa kubwa , na ni aibu pia kwa ikulu ya zanzibar na CCM kwa ujumla
 
Hizi ni kampeni za chama , kufungua blog ni bure kabisa kupitia google , tovuti ya ikulu ni kwa ajili ya updates zainahusiana na ofisi ya raisi kwa wananchi na dunia nzima , kwa iyo ilo analofanya Dr Shein ni kosa kubwa , na ni aibu pia kwa ikulu ya zanzibar na CCM kwa ujumla

Ofisi hiyo inayoitwa Ikulu ni yake kwa sasa, kumbuka hilo.

Ngoja wee uingie Ikulu halafu ufanye hayo uyatakayo.
 
Back
Top Bottom