(Picha)Hawa ni viongozi wetu hapa nchini lakini nimewasahau majina:Nisaidieni majina yao!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

(Picha)Hawa ni viongozi wetu hapa nchini lakini nimewasahau majina:Nisaidieni majina yao!!

Discussion in 'Jamii Photos' started by Ta Muganyizi, Mar 7, 2011.

 1. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #1
  Mar 7, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,137
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  [​IMG]
  1. HUyu ni .......................................................................


  [​IMG]
  2.Huyu ni.................................................................
  [​IMG]
  3.Huyu ni.....................................................

  Nawasilisha nisaidieni majina yamenitoka
   
 2. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #2
  Mar 7, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Kuna mmoja wapo amefanana na Chilingati ila namba nimenitoka 1, 2 ama 3
   
 3. mdoe

  mdoe JF-Expert Member

  #3
  Mar 7, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 436
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  toa bana.
   
 4. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #4
  Mar 7, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,137
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  Nitoe nini Mdoe? We watu wamechoka bana ngoja wapumue. Pia nione mapenzi yao kwa viongozi wao
   
 5. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #5
  Mar 7, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,137
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  Nasubiri majina jamaniiiiiiiiiiiiiiiii
   
 6. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #6
  Mar 7, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,137
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  Mmegoma kunitajia, nijaribu mwenyewe?
   
 7. s

  superfisadi JF-Expert Member

  #7
  Mar 7, 2011
  Joined: May 22, 2009
  Messages: 552
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  mhn mbona unatutisha tutakuombea ban!
   
 8. nziriye

  nziriye JF-Expert Member

  #8
  Mar 7, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 960
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  -namba 1 mitego pinda,2-stivini hasira ,namba tatu nimemsahau vile ?tukumbushane mazeiya
   
 9. nziriye

  nziriye JF-Expert Member

  #9
  Mar 7, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 960
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  3-kama joni gongo makufuli au nimekosea mtoa mada,lete utamu basi..
   
 10. k

  kifyoga b Member

  #10
  Mar 7, 2011
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 43
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mzee mbona unatutisha watu watakutafuta wamtume israel akutoe roho. ila umetisha kwa kuzisaka hizo maana si mchezo
   
 11. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #11
  Mar 7, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,137
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  Namba 2 wadau wanasema ni Wassira, hahahahahhaaa wengine mnasemaje
   
 12. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #12
  Mar 7, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Picha ya kwanza inamwonyesha Mazengo Ponda akiwa amenuna baada ya kusomewa taarifa ya utendaji ya mkoa fulani wakati wa ziara yake ya hivi karibuni, picha ya pili inamwonyesha Steve Wosia akitabasamu kama ishara ya kuwasalimia wananchi wa jimbo lake waliofika uwanja wa ndege kumpokea na picha ya tatu inamwonyesha Mhe. Joni Komboa akiimbisha kwa hisia kali kwaya yake toti.
   
 13. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #13
  Mar 7, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,137
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  Duh bonge la analysis
   
 14. Mshiiri

  Mshiiri JF-Expert Member

  #14
  Mar 7, 2011
  Joined: Jun 16, 2008
  Messages: 1,893
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145

  Nafikiri hivi kwa kufananisha
   
 15. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #15
  Mar 7, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,137
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  mhhhh hii kali nashukuru mwana Mshiiri
   
 16. P

  Percival JF-Expert Member

  #16
  Mar 7, 2011
  Joined: Mar 23, 2010
  Messages: 2,568
  Likes Received: 618
  Trophy Points: 280
  Ulivyofanya ndugu sio utu hata kidogo. Wewe unanaweka jamvini hizi picha za hawa jamaa ambao wanaokenana hawakufanikiwa na wana shida kubwa kimaisha. Unazitumia picha hizi kwa dhihaka na kuwadhalilisha hawa jamaa kwa kuwalinganisha na wanasiasa usio wapenda. Hawa ni binaadamu ambao wana haki ya kuheshimiwa kama wewe. Tafadhali omba radhi.
   
 17. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #17
  Mar 7, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,137
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  Aliyekwambia wanashida ni nani wakati unaona wa kwanza ni Shalobaro, yaani tozi, wa pili anacheka, na watatu kaachama kwa raha zake. Hayo ni mawazo yako. Sasa kama wako poa kuna ubaya gani kuwacompare na leaders. Aliyekwambia hawakufanikiwa ni nani? hahahahahaaaa wako poa tuuu
   
 18. P

  Percival JF-Expert Member

  #18
  Mar 7, 2011
  Joined: Mar 23, 2010
  Messages: 2,568
  Likes Received: 618
  Trophy Points: 280
  Na wewe unafanana na yupi kati yao ? Kwa nini usiweke picha yako ndio ukaomba watu wakwambie unafanana na nani ?

  Hizi threds ndizo zina rudisha thamani ya JF nyuma
   
 19. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #19
  Mar 7, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,137
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  Mie nafanana na huyo wa pili, sema tena. Hii iko strategically put ili watu wapumue vinginevyo unaweza ukachanganyikiwa kwa matatizo yanayotajwa humu nchini. Mbona magazeti yana katuni kibao mbaya wala si nzuri kama hizi picha. Na wameandika jina la kiongozi kabisa. We umeshaona katuni ya PM ilivyo? Ulichukua hatua gani.
   
 20. Mwelewa

  Mwelewa JF-Expert Member

  #20
  Mar 7, 2011
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 2,325
  Likes Received: 2,545
  Trophy Points: 280
  Hahahaaa, mkuu Nziriye u made my day!
   
Loading...