Propaganda za kijinga hizo, ni wapi hizo picha zinapoonesha wameuwa?
Muuwe nyinyi halafu mje kudanganya humu? tutawakamata tu.
Mko tayari kuangalia picha ya maiti ikiwa imesambaratika utumbo? Kitaaluma haturuhusiwi kufanya hivyo.
Mkuu, mimi si mwanasiasa, ni mwanahabari hivyo propaganda si sehemu ya kazi yangu. Siku ukiuliwa wewe pia nitawasilisha habari bila kuangalia itikadi zako
Ni wazi watataka kupotosha, video ya tukio zima itawekwa YouTube.ITV na Radio one wanaripoti eti pilisi wamesema kuwa marehemu kaangukiwa na bomu la kutoa machozi...
Hao polisi wanajua kuwa hizi picha sasa ziko kwenye public domain??
Hapana, uume wake marehemu unaonekana kwenye picha. Ni mbaya, haipendezi kwenye public domain. Sitofanya kumfurahisha mtu, ni vyema kuzingatia nilichoahidi kukisimamia.Mkuu.
Kwa haya yaliyotokea leo hebu weka kando kwanza hiyo haiba yako ya uandishi! Weka picha tuone udharimu aliofanyiwa mwandishi mwenzako! Hapo tulipo fika tunatakiwa kupigania haki zetu kwa kuweka taaluma pembeni! Hatuwezi kutetea kufuata maadili ya taaluma wakati polisi walio takiwa kulinda usalama wetu wakiuwa raia kila siku.
Relax: You had our approval. All copied and wired to BBC/CNN representatives.
Now the main question is what is next step?