Kama watz wangekuwa serious kifo cha jamaa wa moro na leo iringa pasinge kalika!
does that mean our police have been trained to kill
A picture speaks a thousand words...zipo na video pia...safari hii mmepatikana mb*a nyie!Propaganda za kijinga hizo, ni wapi hizo picha zinapoonesha wameuwa?
Muuwe nyinyi halafu mje kudanganya humu? tutawakamata tu.
bro, hizo silaha wengine tulishawahi kuzishika na kutuliza gasia kama kawa,..hivyo ninachoongea nakijua...mimi actually sijapendezwa na kitendo hicho cha kiuaji, ila siamini kama walifanya kwa kukusudia....this isn't murder, na kuua bila kukusudia/manslaughter.acha pumba,silaha ya bomu la machozi inaelekezwa tumboni?huoni ameielekeza tumboni at a close range?acha ujinga ni heri ukae kimya!
Inauma sana jamani..!!?
Ina maana wamemwua huyu mwandishi akitekeleza majukumu yake.??
R. I. P mwangosi.
Mko tayari kuangalia picha ya maiti ikiwa imesambaratika utumbo? Kitaaluma haturuhusiwi kufanya hivyo.
Mkuu, mimi si mwanasiasa, ni mwanahabari hivyo propaganda si sehemu ya kazi yangu. Siku ukiuliwa wewe pia nitawasilisha habari bila kuangalia itikadi zako
Kazi ipo...polisi wameanza kujisahau wanatakiwa kufanya nini. Wanatengeneza tatizo kubwa litakaloweza kabisa kupoteza credibility ya jeshi hilo mbele ya watanzania.Mwenye macho haambiwi ona
Askari saba wanamshambulia mtu mmoja asiye na silaha yeyote zaidi ya kitendea kazi chake(camera).
bro, hizo silaha wengine tulishawahi kuzishika na kutuliza gasia kama kawa,..hivyo ninachoongea nakijua...mimi actually sijapendezwa na kitendo hicho cha kiuaji, ila siamini kama walifanya kwa kukusudia....this isn't murder, na kuua bila kukusudia/manslaughter.