Picha: Hatimaye Twiga wa utopolo pamoja na mlima Kilimanjaro wageuzwa mweusi

team viewer ni sponsor wa team siyo wa league ndiyo maana GSM logo yao ni nyekundu lakini utopoloni wameifanya nyeusi hatuongei watajijua wenyewe ingawa ddep in their hearts inajulikana nyekundu blue na white ndiyo rangi za logo za corporates
Ww nae mbishi tu mbna man u pia waligomea barclays kipindi icho
 
Huyu Twiga mweusi nilimuona pale Msamvu Morogoro. Ni Twiga wa kuchorwa - Hongereni Yanga

Japo sijaona mantiki ya kukataa rangi Nyekundu na kukubali lebo yenye rangi Nyeupe ambayo pia ni rangi rasmi ya mtani wake. Huu nao ni ubishi wa kizembe
 
Ni kitu cha kawaida tu duniani kote. Rangi asili ya timu inamaana kubwa. Angalia TeamViewer wale rangi yao ni bluu lakini kwa Manchester United wameweka red.
Wale ni wadhamini binafsi,......
NBC ni mdhamini wa ligi.
Ni upumbavu tu.
Hivi ikitokea team ikasema ni mwiko kwetu kuwa na picha ya twiga begani watakubali?
Mnawadekeza sana hawa Uto ndio maana wanakuja wanaijeria hapa, Uto wakaanza kuwachapa bakora za vichwa.
Amepigwa faini analalamika, Yanga ni timu ambayo kuendelea ni miaka elfu kumi mbele.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Laiti kama mngekuwa mnajuaga nini maana ya kufika group stages na robo fainali huko CAF champions league mngejua nini maana ya kuheshimu rangi ya sponsors lakini kwa kuwa level zenu ni za watoto wadooogo kausheni tu
Yanga ndiyo was Kwanza kufika group stages
 
Nbc wako pale kwa mlengo wa kibiashara wasingeweza kugoma maana inaeza waathiri kupata wateja wapya wanaoshabikia yanga
 
Poole sana

Hivi mkuu na akili zako timamu kabisa ulijua Yanga wataweka twiga mwekundu?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom