Picha: Harambee ya M4C yavuna milioni 323 za kitanzania jijini Dar

Kumbe zilipatikana mil 300 tu??? Pamoja na promo yote, kama wameshinndwa kufikisha lengo la mil 500 walilokuwa wameliweka, vivyo hivyo na 2015 kura hazitatosha!!

Wivu hukaa kifuani kwa mtu mjinga.
M4C with no apology.
 
Lengo ni kupata bilioni 5 lakini wamepata milioni 70 pamoja na ahadi, kama Dar mlipanga kupata milioni 500 ndio sehemu mliokuwa mnaitegemea lengo limekwama...sasa unakwenda kumualika Sinta na Joketi unategemea nini.
Dhuluma humfanya mtu mwenye hekima
mpumbavu,
rushwa huuharibu moyo.
 
Mkuu Ritz, hata mimi nilishangaa sana. Nilibakiwa tu nimeshikwa na bumbuwazi. Halafu wanathubutu kujiita chama makini! What a shame.

hatuitaji pesa chafu za mafisadi hata hizo elfu 2 zao tunaziitaji ! Wivu ni kitu kibaya sana.
 
Lengo ni kupata bilioni 5 lakini wamepata milioni 70 pamoja na ahadi, kama Dar mlipanga kupata milioni 500 ndio sehemu mliokuwa mnaitegemea lengo limekwama...sasa unakwenda kumualika Sinta na Joketi unategemea nini.

sasa unadhani hao unao wadharau hawana ata elfu? Sisi hatubagui ila tunataka pesa safi. Wivu utakumaliza mwaka huu!
 
Hapa tunaongelea harambee ya CDM, mambo ya papaa msofe yanatoka wapi?

BTW naona kwenye huo mkutano mliwaalika wauza sura wa mjini tu. Sijui mlikuwa mnategea hiyo mil 500 ipatikane vipi.

Ukiangalia kwa haraka haraka gharama za hiyo hafla ni zaidi ya mil.100, then mmepata m.323, most of them ni ahadi za kulipwa within 18 month. Ukiweka provision ya doubtful na bad pledges, unabakiwa na almost nothing. Poor CDM, jipangeni tena kimikakati..
kwa viongozi wa CHADEMA naomba hili wazo msilipuuze hata kama limetolewa na kalagesiye.
kwa mtazamo wangu naona wanaounga mkono zaidi mabadiliko ni wasikini wasio na pesa nyingi, wengi hawana cha kupoteza hata kama serikali itawawekea vikwazo vya uchumi. Matajiri wengi inawezekana ni waoga au ni wanafiki, wanapima kwanza upepo. wakiona kama nguvu ya ccm inaanza kuisha basi wanaangalia chama chenye nguvu na kupeleka misaada yao huko kama mitaji yao ya baadaye(rushwa hiyo). Ni wachache sana wanaoweza kuiga mfano wa mzee Aikaeli Mbowe aliyemlipia Mwl Nyerere Faini ya sh 50/- wakati huo wa vuguvugu la kudai uhuru.
 
Lengo ni kupata bilioni 5 lakini wamepata milioni 70 pamoja na ahadi, kama Dar mlipanga kupata milioni 500 ndio sehemu mliokuwa mnaitegemea lengo limekwama...sasa unakwenda kumualika Sinta na Joketi unategemea nini.

hahahaha... watajaribu Arusha Labda!
 
mkuu nngu007 cash ni milioni 270 na ahadi 253milioni, kwahiyo wamevuka lengo la kupata milioni 500 kwa mkoa wa DSM, halafu mbona mlolongo wa picha zote sijaona picha ya kamanda Lema.

Haujui Lema yuko Nje ya Nchi; Haukuona Picha yake humu kwenye Jamii Forums akiwa UK akiangalia Helikopta Mpya?

na nadhani anaelekea CHINA?
 
​london tutakuwa na nyie kwa hali na mali tumewasha moto na hauzimiki mpaka 2015 lazima kieleweke kama noma na iwe noma.

kitaeleweka tu mkuu watu wamechoka na udhaifu serikali ya sasa
 
mkuu nngu007 cash ni milioni 270 na ahadi 253milioni, kwahiyo wamevuka lengo la kupata milioni 500 kwa mkoa wa DSM, halafu mbona mlolongo wa picha zote sijaona picha ya kamanda Lema.
;

Unajua Wanahabari tulipopata hiza HABARI ni CCM; Mohamed DEWJI BLOG... Ukimsoma Nape Nnauye kwenye Face Book

Kinamuuma sana; Hawezi kufanya Mkusanyiko kama huu; Viongozi wa CCM wanarusha pesa zao USWISI sio kuitolea

CCM
 
Kumbe zilipatikana mil 300 tu??? Pamoja na promo yote, kama wameshinndwa kufikisha lengo la mil 500 walilokuwa wameliweka, vivyo hivyo na 2015 kura hazitatosha!!

kusoma huwezi hata picha hauoni!nimekubali kuna mazuzu wengi.
 
Kama unawaza hivyo umepotoka ndugu yangu. Sitegemei comment kama hii kutoka kwa mtu anayejiita Great thinker. Hii ungeifanya vijiweni na kwenye baa za gongo ndio wangekuelewa.

Wananchi siku hizi wana uelewa wa masuala ya kodi, huwezi kumtishia mtu TRA watakufilisi. Watu wanatimiza wajibu wao, kwanini wafilisiwe? Ingekuwa ni kirahisi hivyo, ungekuta Mbowe sasa hivi kesharudi kijijini kwao Machame.

Hivi siku hizi wote wanaofilisiwa ni kwa kuwa wanadaiwa kodi? Hata ukienda mahakamani Kikwete anaita waandishi wa habari anatangaza hukumu alafu siku inayofuata ndio mahakama nayo inatoa hukumu. Uko nchi gani wewe au unajisahaulisha?
 
Teh teh teh!naona wakaskazini mmegawana position,mke wa deo mushi (mwenyekiti wa kinondoni)nae namuoma hapo na bakuri lakukusanyia pesa,teh teh teh.
 
Inatisha!!! Kama mambo ni hayo, 2015, tutaanzia wapi kuwaeleza wapiga kura kuwa kura zao hazikutosha??????????? Tujipange na mabwe....... tu.
 
Lengo ni kupata bilioni 5 lakini wamepata milioni 70 pamoja na ahadi, kama Dar mlipanga kupata milioni 500 ndio sehemu mliokuwa mnaitegemea lengo limekwama...sasa unakwenda kumualika Sinta na Joketi unategemea nini.

Mkuu si bora hata wangepata hizo ml 70 wamepata ml 2 mkuu nyingine zote ahadi hewa
 
Safari hii,lema anataka 140 mil na yeye ajenge nyumba, nasari na yeye anataka 50mil atoe album yake ya bongo flava. Zinazo baki mbowe anataka kukarabati ukumbi wake.

Halafu mbona wengi kwenye hiyo harambee ni wa kaskazini?ilikosekana mbege tu hapo.
 
Mkuu si bora hata wangepata hizo ml 70 wamepata ml 2 mkuu nyingine zote ahadi hewa
mbona hawajasema gharama za hiyo harambee ni kiasi gani? Usije kuta mapato ni mil 70 gharama ni mil 100. Si umeona wote walikuwepo hapo ni wapiga tungi wakubwa.
 
Kumbe zilipatikana mil 300 tu??? Pamoja na promo yote, kama wameshinndwa kufikisha lengo la mil 500 walilokuwa wameliweka, vivyo hivyo na 2015 kura hazitatosha!!

sio chama cha mafisadi wala wakwepa kodi waliotoa wote ni majasiri na clean people.
 
Mkuu chama,
Hao ni Chadema-Kata wanatumika kwenye maandamano na mitandao ya kijamii lakini M4C ina wenyewe kina Mbowe, Slaa, Lema...hata wabunge wa Chadema kutoka Meatu, Ukerewe, Bariadi, Rukwa, hawakualikwa.
Mkuu Ritz
Hiki ndio chama kinachodai cha kitaifa kinachopigania umoja wakati kitaifa wakati chenyewe kimeshajigawa kikanda kwenye mambo ya pesa ni wenyewe wa kaskazini hiki ndicho wengi wasichoelewa kama kawaida watarudi hapa na utetezi finyu; na Lema ndiyo mweka hazina mpya wa chama juzi tu alikuwa London kukagua chopa?
Chama
Gongo la mboto DSM
 
Back
Top Bottom