Picha: Halima Mdee na mwenzake wafunika kwenye kampeni leo

Bia yetu

JF-Expert Member
Apr 14, 2020
6,923
8,314
20200907_153425.jpg


Hawa wawili ni wagombea ubunge majimbo mbali mbali hapa Tanzania

Ukiwakuta Twitter wanakuambia tunashinda Urais
20200907_153448.jpg
 
Gwaji mtu mbaya sana.
Halima zile vurugu zake zimemponza kiasi kwamba CCM wamekubali kuwakilishwa na adui wao kumuondoa adui mwingine.
Mh. Halima akitoboa awamu hii akatambike.
 
Sasa wana Kawe watakuwa wajinga kama watamchagua mwanaharakati badala ya kiongozi yani wamchague mtu ambae anaenda kususia vikao vya bunge? Naona Gwajima anatosha sana kwa wana Kawe
 
Nina uzoefu mkubwa na hiyo kawe mkuu, kuna kipindi 2015 alikuwa hatumii mic akija mtaani watu wachache sana ni kama tunapiga story tu na bado akashinda.
Nazungumzia mitaa ya bondeni shoko kwenda mbezi beach mpk jogoo huko.
 
Hivi kwanini asingewapakia hiyo Prado akawapeleka club wakapata ubwabwa? Sasa naamini Rungwe anaakili sana
 
Back
Top Bottom